kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Muondoeni kwanza huyo mkwepa kodi mbobevu hapo UtopoloniWanasimba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.
Najua kua tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "mbumbumbu"
Mo dewj (kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
Tuandamane mo aweke pesaHatuna shabiki zwazwa kama wewe
Mo aondoke wanachama tutailea timu yetuMuondoeni kwanza huyo mkwepa kodi mbobevu hapo Utopoloni
Kanjibah anazingua mkuuKwamba bilioni 20 zenu!!!!!!.....heheheehee
SIMBA SC haina shabiki wa hovyo kama weweWana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.
Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".
Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
Rudi kasome mchakato wa mabadiliko ya katiba, utaona mo ni nani na anapaswa kufanya nini? Tuache ujinga, tunauza timu bureMlifanya kazi gani mkapata hizo 20bil? Na Ilifikaje fikaje mikononi mwa Kanjibah? Na kimewasibu nini mpaka mmebadili mawazo kutaka zirudi kwenu tena? Na akishazirudisha zitakaa Kwa nani? Na matumizi yake atayaidhinisha nani?
Mkuu mo anawajibika kikatiba kulipa hizo pesa tusiwe brainwashedKwa hyo unadhani moo ni mjinga kias gani kuweka pesa zote hzo kwenye mpiraa
HAlfu mm sioni shida ikiwa tu sina manufaha ya moja kwa moja na simba kumilikiwa na moo mm kwamba moo anatoa pesa zake za usajili na kila kitu alfu nije nimsumbue eti toa hela hela hpn siwezi mooo fanya lolote na simba ,chochote mnk kuna watu hat mia mbovu hawana
Huu ndio umbumbumbu aliosema Rage, tunadhulumiwa kweupe.. tutaanzisha maandamano katika ngazi za matawi... aweke 20b au aondoke... mimi sio mbumbumbuWewe ni msukule tu