Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.

Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".

Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
Masirahi yapi zaidi ya matokeo? Au una dingi anataka kuweka hisa zake pale
 
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.

Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".

Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.

Nyie ndio watu mnarudi kwenu mnakuta kukuchoma na chips na wala uulizi vimetoka wapi

Kabla ujaandika upupu wako kwanza tuambie umelipa sh ngapi kuchangia Simba?

Pia tuambie kwenye zile hisa 51% umenunua ngapi?

Timu inasafiri, inasajiri, wanakaa kambini, ww uko zako newala huko unapiga kelele za 20B
 
Mlifanya kazi gani mkapata hizo 20bil? Na Ilifikaje fikaje mikononi mwa Kanjibah? Na kimewasibu nini mpaka mmebadili mawazo kutaka zirudi kwenu tena? Na akishazirudisha zitakaa Kwa nani? Na matumizi yake atayaidhinisha nani?

Wanadai 20B za hisa 49% why wasihoji hisa 51 za wanasimba wamenunua ngapi?
 
Nyie ndio watu mnarudi kwenu mnakuta kukuchoma na chips na wala uulizi vimetoka wapi

Kabla ujaandika upupu wako kwanza tuambie umelipa sh ngapi kuchangia Simba?

Pia tuambie kwenye zile hisa 51% umenunua ngapi?

Timu inasafiri, inasajiri, wanakaa kambini, ww uko zako newala huko unapiga kelele za 20B
Mimi ni mwanachama nalipia kadi kila mwaka, zile 51% ni za timu, huyu mnayemwita mwekezaji na kanunua 49% , kaweka shilingi ngapi kwenye account? Nani aliahidi hyo pesa kama sio mo mwenyewe? Hivi watanzania akili mnapeleka wapi?
 
Wanadai 20B za hisa 49% why wasihoji hisa 51 za wanasimba wamenunua ngapi?
Hizo ni hisa za timu (board of trustees) kuna huyu mwekezaji amekuja kununua hisa kwa wenye timu, wenye timu wamekubali kuuza hizo 49%, sasa pesa zipo wap?
 
Pesa za usajili zimetoka wapi? Pesa za kambi zimetoka wapi? Mishahara inatoka wapi?

Ukipata majibu ndio uje na Hilo swali lako
 
Mimi ni mwanachama nalipia kadi kila mwaka, zile 51% ni za timu, huyu mnayemwita mwekezaji na kanunua 49% , kaweka shilingi ngapi kwenye account? Nani aliahidi hyo pesa kama sio mo mwenyewe? Hivi watanzania akili mnapeleka wapi?

Mishahara ya wachezaji inatoka wapi? Ela ya kambi na Safari zinatoka wapi? Mnachangishwa?
 
Back
Top Bottom