SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe ni juha tu kama mlivyo wanayanga wote. Sisi furaha yetu ni ushindi na mataji kama Mo ameyaleta hayo aendelee tu kwani hakuna kitu tumewekeza pale kuwa tunataka hela yetu irudi. Mbona hapo kwenu kabla ya kuja Ghalib mlikuwa mnatembeza bakuli ilhali mko mamilioni ya washabiki na wanachama tena mnajiita wananchi.Rage alisema mashabiki wengi ni mbumbumbu, ukweli hauzimwi kwa 'vijitusi uchwara ' hyo timu ni ya uma, sio baba zenu.