FourTwoNet
JF-Expert Member
- Aug 4, 2022
- 1,236
- 2,512
Wanaouguza maumivu ya Kmc ndio hawa. Kesho Azam wafanye yao, wawazibe vinyeo.Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.
Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".
Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.