Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

Mo Dewj weka bilioni 20 zetu, acha janja janja

kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
2,375
Reaction score
4,893
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.

Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".

Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
 
Wanasimba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.

Najua kua tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "mbumbumbu"

Mo dewj (kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
Muondoeni kwanza huyo mkwepa kodi mbobevu hapo Utopoloni
 
Kwa hyo unadhani moo ni mjinga kias gani kuweka pesa zote hzo kwenye mpiraa

HAlfu mm sioni shida ikiwa tu sina manufaha ya moja kwa moja na simba kumilikiwa na moo mm kwamba moo anatoa pesa zake za usajili na kila kitu alfu nije nimsumbue eti toa hela hela hpn siwezi mooo fanya lolote na simba ,chochote mnk kuna watu hat mia mbovu hawana
 
Kama unaona rahisi kanunue hata maji ya timu tu .
 
Wana Simba wenzangu, muda umefika sasa wa kumshinikiza huyu anayejiita muwekezaji ndani ya timu yetu kuweka ile pesa yote aliyohaidi.

Najua kuwa tatizo la mashabiki na wanachama ni kupumbazwa na matokeo na tunaacha mijadala ya msingi kabisa kwa masilahi ya timu yetu, haishangazi tunaitwa "Mbumbumbu".

Mo Dewj (Kanjibah) kama huna pesa ondoka kwenye timu yetu, waje matajiri wa ukweli kuwekeza.
SIMBA SC haina shabiki wa hovyo kama wewe

SIMBA SC ni timu ya wenye akili timamu.
 
Mlifanya kazi gani mkapata hizo 20bil? Na Ilifikaje fikaje mikononi mwa Kanjibah? Na kimewasibu nini mpaka mmebadili mawazo kutaka zirudi kwenu tena? Na akishazirudisha zitakaa Kwa nani? Na matumizi yake atayaidhinisha nani?
Rudi kasome mchakato wa mabadiliko ya katiba, utaona mo ni nani na anapaswa kufanya nini? Tuache ujinga, tunauza timu bure
 
Eti "Wanasimba wenzangu" we jamaa sijui umetuonaje! Utopolo mkubwa wewe.
 
Kwa hyo unadhani moo ni mjinga kias gani kuweka pesa zote hzo kwenye mpiraa

HAlfu mm sioni shida ikiwa tu sina manufaha ya moja kwa moja na simba kumilikiwa na moo mm kwamba moo anatoa pesa zake za usajili na kila kitu alfu nije nimsumbue eti toa hela hela hpn siwezi mooo fanya lolote na simba ,chochote mnk kuna watu hat mia mbovu hawana
Mkuu mo anawajibika kikatiba kulipa hizo pesa tusiwe brainwashed
 
Back
Top Bottom