Mo Dewji aahidi TSh. milioni 785 endapo Simba wataifunga Yanga

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.

1741334168210.png
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha wachezaji wa Simba kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mechi hiyo muhimu. Hata hivyo, hakuna tamko rasmi kutoka kwa klabu ya Simba au mfadhili mwenyewe kuthibitisha taarifa hiyo.

1741334298230.png
 
Fake news ???....kazi ipo...wana posho na salary kwa nini atoe pesa xote hizo ??
 
Mtashinda kama mkitenga za TFF na Marefa.
 
Fake news ???....kazi ipo...wana posho na salary kwa nini atoe pesa xote hizo ??
Na yule mwingine naamin pia itakua fake news..watu wanadaiwa na wachezaji kibao ashindwe kulipa aje kutoa 500 kisa derby..
 
Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.

Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha wachezaji wa Simba kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mechi hiyo muhimu. Hata hivyo, hakuna tamko rasmi kutoka kwa klabu ya Simba au mfadhili mwenyewe kuthibitisha taarifa hiyo.

MO ndio Bilionea mwenyewe
 
Back
Top Bottom