Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Fake news ???....kazi ipo...wana posho na salary kwa nini atoe pesa xote hizo ??Inaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.
Taarifa kutoka kwa vyanzo vya kuaminika zinadai kuwa ahadi hiyo inalenga kuwahamasisha wachezaji wa Simba kuhakikisha wanapata matokeo mazuri katika mechi hiyo muhimu. Hata hivyo, hakuna tamko rasmi kutoka kwa klabu ya Simba au mfadhili mwenyewe kuthibitisha taarifa hiyo.
Na yule mwingine naamin pia itakua fake news..watu wanadaiwa na wachezaji kibao ashindwe kulipa aje kutoa 500 kisa derby..Fake news ???....kazi ipo...wana posho na salary kwa nini atoe pesa xote hizo ??
Unajua kuna habari ukizisikia they don't click even a chicken mind.🤣Fake news ???....kazi ipo...wana posho na salary kwa nini atoe pesa xote hizo ??
MO ndio Bilionea mwenyeweInaelezwa Mfadhili wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji, yupo tayari kutoa kiasi cha dola 300,000 za Kimarekani (sawa na shilingi milioni 785 za Kitanzania) endapo timu hiyo itaibuka na ushindi dhidi ya Yanga.