Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Na hao "wahindi" wana asili/sehemu/chimbuko lao huko India.Basi,ungetaja.Wachaga ni kabila pekee lilitoa bilionea na kuingia kwenye orodha za Forbes, hao wengine ni wahindi wabantu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hao "wahindi" wana asili/sehemu/chimbuko lao huko India.Basi,ungetaja.Wachaga ni kabila pekee lilitoa bilionea na kuingia kwenye orodha za Forbes, hao wengine ni wahindi wabantu
[emoji1488][emoji16][emoji16][emoji16],Na hao "wahindi" wana asili/sehemu/chimbuko lao huko India.Basi,ungetaja.
Acha uongo....Wachaga ni kabila pekee lilitoa bilionea na kuingia kwenye orodha za Forbes, hao wengine ni wahindi wabantu
Discuss namna ya kujiletea maendeleo wewe mwenyewe. Ubishani wa kushabikia matajiri ni ulimbukeli!Naona unataka tudiscuss habari za kukaa kwa shemeji yako, baada ya kuhama kwenu
Nina hakika hata haya maneno ya ku-motivate na ku-insipire umeyakariri lakini hujui maana yake halisi kwenye muktadha wa kinachoongolewa!Kwa sababu wana "wamotiveiti" na "kuwainspaiya"!
Kwa hiyo weye macho kumchuzi ndiyo unajua sana?Aisee,ngoja niishie hapo.Nina hakika hata haya maneno ya ku-motivate na ku-insipire umeyakariri lakini hujui maana yake halisi kwenye muktadha wa kinachoongolewa!
Saguda47 amelikeSisi masikini tunachojua ni chuki dhidi ya waliofanikiwa/matajiri.Utakuta mtu anaanzisha mada "Sielewi utajiri wa mo chupri chupri,ni janjajanja tu" ..wakati huo jumapili hii anafua nguo Kisha anaanika kamba ya jirani na vibanio anaiba wakati vinauzwa buku tu.
Nitakiwa mtu wa mwisho kabisa duniani, kuamini eti Mohamed Dewji ni tajiri mwenye pesa nyingi zaidi kuliko Rostam Aziz, au Said Salim Bakhresa.Habari wakuu,
Mohammed Ghulam Dewji, ameendelea kuwa top kwenye suala zima la utajiri nchini Tanzania. Licha ya bilionea huyo kuchukuliwa poa nchini ila ndio bilionea no.1 kijana barani Afrika na anashikilia no.15 kati ya mabilionea wote Afrika kutokana na taarifa za Forbes na Bloomberg.
Mo Dewji ni tajiri pekee Tanzania aliefikia utajiri wa thamani ya dollar bilioni 1.5 na hakuna Mtanzania yeyote aliewahi kufikia kiwango hicho. Pia ni bilionea pekee wa kitanzania mwenye biography kwenye jarida la Bloomberg, zaidi ya huyo hakuna bilionea mwingine alieongelewa au kutajwa na jarida hilo.
Kwa upande mwingine bilionea Rostam Aziz ameshikilia no.2 kwa mabilionea nchini kwa utajiri wa thamani ya $900M, huku mwakilishi wa wachaga Marehemu Mhe.Reginald Mengi akishika no.3 kwa utajiri wa $680M, Said Salim Bakhresa akifuata kwa kuwa na utajiri wa $600M.
We unajulikana, unaweza ukasema gari imetengenezwa kwa mbao na ukasimamia msimamo wakoNitakiwa mtu wa mwisho kabisa duniani, kuamini eti Mohamed Dewji ni tajiri mwenye pesa nyingi zaidi kuliko Rostam Aziz, au Said Salim Bakhresa.
Sasa marehemu anakuwa vipi tajiri ikiwa mali zake huku duniani wameshagawana?Unafuatilia kweli data za matajiri!!!?? Mara ya mwisho forbes uliingia lini ukaona Mengi hayupo!!?? Kanywe chai urudi uje kuniambia nani amekwambia bilionea akifa anaondolewa kwenye orodha ya matajiri. Maana naona hujanywa chai
Una uhakika!! Mali wamegawanSasa marehemu anakuwa vipi tajiri ikiwa mali zake huku duniani wameshagawana?
YEAHUna uhakika!! Mali wamegawan
Fatilia mahakamani kwenye kesi ndo utajua si kama tulivyojuaTwende taratibu naomba nipe worth ya familia ya Mengi mpaka sasa
HahahaMarehemu nao ni matajiri kuliko walio hai?
Hiz data za lini...
Kwa hio mengi ni tajiri kuliko walio hai?