Mo Dewji aipongeza Yanga...agawa bodaboda kwa kila mchezaji wa Simba na kuongeza mkataba wa kocha.

Wachezaji wa Mikia wapo kapu Moja na Miss Mbeya
Siku ya mashindano ya Miss Mbeya, timu ya Simba ilikuwepo Mbeya kucheza na TZ Prisons, baada ya kumaliza mechi mashabiki wakaenda ukumbini kushuhudia Dream FM wanavyomkabidhi Miss Mbeya zawadi ya pikipiki ya TANHERO, bila shaka walimpelekea habari MO naye akaamua afuate nyayo za Dream FM na TANHERO
 
Write your reply...
haya mfuateni kijiweni miss mbeya,yupo anakula vichwa na bodaboda yake! na nyie mkapige hela
 
Anataka wavunjike miguu wasirudi tena uwanjani
 
Yaani bodaboda kweli?? Kweli wahindi ni matapeli tu!!
 
Wachezaji 30 ×2,330,000=69,000,000
Mil 69 imebaki Mil 11 tu sawa na hela za ubingwa .

Mo kajitahidi.
Hongera kwao, bodaboda moja kwa wachezaji zaidi ya Ishirini ni kiasi kikubwa sana cha fedha ukilinganisha na Faida iliyopatikana kutokana na ubingwa huo,,, pia ikumbukwe hiyo sio Mshahara ila ni Zawadi
 
Walifika robo finali hivyo CAF imewalipa dola 650,000.Kashindwa hata kutoa Dola 200,000 kuwagawia wachezaji ? TATIZO UTAJIRI WA KURITHI. MHINDI BAHILI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…