3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Zawadi amewapa .. je vp angechuna kama manji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya muda wao wa kupumzika wapige tu boda boda watapata hiyo milioni5.
Wabongo ujuaji wa kijinga tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zawadi amewapa .. je vp angechuna kama manji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya muda wao wa kupumzika wapige tu boda boda watapata hiyo milioni5.
Utalinganisha na wali maharage.Bodaboda....amewashusha hadhi sana
Kila mechi ya CCL kulikuwa na bonasi wanalamba.. hii ni zawadi ya kubeba TPL sio mbaya.Sasa timu imefika robo fainali ya African champions wanapewa bodabado?
Hawa makabacholi mi siwaelewagi kabisa
Hapo wangepewa hata million kumi kila mchezaji km bonus
Au kitambo kulikuwa kuna baskeli ilijulikana kwa jina la kichina SHAN SHANBoxer mnaidharau! wakati wachezaji wa yanga hawana hata phoenix bomba mbili
Nakubaliana na wewe mkuu.Mi sio ubaya, maana mchezaji analipwa mshahara kila mwezi kwa kazi ya uchezaji..ukizingatia hapo awali alikwisha toa bonus nafikiri kufuzu Club bingwa afrika ,kufika robo fainali so swala la boxer ni zaidi na hakuna sehemu inasema ni lazima team ikichukua kikombe wachezaji wapewe motisha..tena kwa ligi ya kibongo mshindi zawadi haijulikani na ata haizidi milioni 90
Zinachukuliwa kwa bei ya jumla hizo.Wachezaji 30 ×2,330,000=69,000,000
Mil 69 imebaki Mil 11 tu sawa na hela za ubingwa .
Mo kajitahidi.
Sasa timu imefika robo fainali ya African champions wanapewa bodabado?
Hawa makabacholi mi siwaelewagi kabisa
Hapo wangepewa hata million kumi kila mchezaji km bonus
Inamaana aliyesikia milioni 5 alisikia vibaya?
Awana hela hao ni sawa na sisi yeboyebo unampaje mchezaji pikipiki???Kampuni ya METL si wanaagiza pia Boxer ? ( boda boda ,Mo Boxer )
HahahahaAwana hela hao ni sawa na sisi yeboyebo unampaje mchezaji pikipiki???
Boda boda ni kama dharau kwa wachezaji wakubwa kina kagere wanapiga magoli kila siku niheri angewapa pesa 2M kila mchezajiEndeleeni kudharau 25k per day nyie ,tayar mmeshawaona wachezaji wetu akina messi wanahitaji ma lambo na ferra eh?
Yeye kasema "badala ya kuwapa samaki kaamua kuwapa ndoano na mshipi hili wakavue samaki wengi kwa sasa na baadae"Inamaana aliyesikia milioni 5 alisikia vibaya?
Usisahau Swala na Ivon mkuu.Au kitambo kulikuwa kuna baskeli ilijulikana kwa jina la kichina SHAN SHAN
Yanga hawakufika robo final CLYanga wamepewa nini tofauti na futari?
Mo ana akili sana.Kampuni ya METL si wanaagiza pia Boxer ? ( boda boda ,Mo Boxer )
Hahahaha, hapo target mashabiki ,wanunue hizo boxer zake ,hata kwa mkopoMo ana akili sana.
Hakuna mfanyabiashara anaachia fursa kirahisi