Mo Dewji aipongeza Yanga...agawa bodaboda kwa kila mchezaji wa Simba na kuongeza mkataba wa kocha.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haya muda wao wa kupumzika wapige tu boda boda watapata hiyo milioni5.
Zawadi amewapa .. je vp angechuna kama manji.
Wabongo ujuaji wa kijinga tu
 
Sasa timu imefika robo fainali ya African champions wanapewa bodabado?
Hawa makabacholi mi siwaelewagi kabisa
Hapo wangepewa hata million kumi kila mchezaji km bonus
Kila mechi ya CCL kulikuwa na bonasi wanalamba.. hii ni zawadi ya kubeba TPL sio mbaya.
Wenzao upande B wanaambuliaga soda + boflo
 
Nakubaliana na wewe mkuu.

Kasema bonus za mechi za ligi ya ndani na club bingwa Africa inafika 1 billion,kwaiyo kuwapa boxer sawa tu.
 
Endeleeni kudharau 25k per day nyie ,tayar mmeshawaona wachezaji wetu akina messi wanahitaji ma lambo na ferra eh?
Boda boda ni kama dharau kwa wachezaji wakubwa kina kagere wanapiga magoli kila siku niheri angewapa pesa 2M kila mchezaji
 
Zawadi haikataliwi.
Kumbukeni hiyo ni Kampuni na inafanya biashara ili ipate faida ili iendeshe timu.
Kama bonansi wachezaji wamezipata nyingi tu zenye thamani ya bilioni.
Sasa ni wakati wa kutengeneza na kuitangaza biashara, na biashara mojawapo ni ya Bodaboda.
Kama mchezaji hataki Bodaboda basi na aiuze, achukue hizo pesa zake.
Tunataka kuzitangaza
MO-BOKSA.
 
Tuwe wakweli, ni afadhali umpe mchezaji pesa yenye thamani ya pikipiki kuliko kumpa pikipiki, kwanza hapa una-mlimit kutumia zawadi yake lakini ni kama pia unamshusha hadhi

Kwani ukinipa 2milioni sijui duka la kununua pikipiki?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…