Mo Dewji amemaliza kazi yake, hatuna cha kumdai zaidi ya sisi kupambana wenyewe kuwasaka wasaliti ndani ya timu

Pambaneni Manula awafuate wasaliti wenzake Inonga na Chama. Vinginevyo Manula akibaki taaabu iko pale pale, wahuni watamtumia kama dalali kuwarubuni waliopo on fire.
Manula kama watu hawataki kutoa hela ya kuvunja mkataba,basi tutamlipa ila atakua anatuongezea idadi ya mashabiki jukwaani na hela ya kuingia uwanjani lazima alipe
 
Tajiri hana baya, yaan ss hv akitokea mjinga yoyote na kumtusi na kumdhalilisha Mo Dewji huyo kazi anayo
umbumbumbu sio mzuri aisee...si juzi tu hapo mlisema mnamdai b20 leo hana deni kalipa lini???
 
Tena kama haujui huko mashindano ya CAF ndiyo kuna milungula balaa, kuanzia kwenda kwa wachezaji hadi waamuzi
Kwa hiyo na wachezaji wa timu yako huwa wanahongwa na Waarabu katika zile mechi wanazofungwa? Mfano msimu uliopita Al Ahly aliwafunga nje ndani kwenye mashindano ya CAF.
 
Una safari ndefu na ngumu kukubali timu yako pendwa ni mdebwedo haijiwezi tena mbele ya wananchi, dawa ni kuhakikisha Chama na Baleke wanapiga hat trick mbele ya simba mechi ijayo ya ngao!!
Msimu huu utakubali mziki wetu uto fc.

Simba hakuna usaliti wowote mnatupigia makelele, kubalini tu kuwa Eng Hersi kawazidi akili ya mpira na hamtarudi mchezoni mpaka mkajifunze haraka na msipoenda kwa Hersi tutawapeleka kwa bakora.
 
Kwa hiyo na wachezaji wa timu yako huwa wanahongwa na Waarabu katika zile mechi wanazofungwa? Mfano msimu uliopita Al Ahly aliwafunga nje ndani kwenye mashindano ya CAF.
Nikisema ndiyo utaomba na ushahidi ambao ni wazi siwezi kukupa hapa. Wewe jua tu kwamba milungula inatembea sana kwenye ligi ya ndani na hata huko CAF. Punguza ubishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…