Kwenye uongozi bado kuna tatizo! Mangungu, CPA Masoud, Mr Muba hao watu ni virusi watafanya juu chini Simba isifanikiwe!
Wanachama wangefanya juu chini hao watu watolewe wasishiriki vikao vyovyote vya bodi ya wakurugenzi.
Kwenye bechi la ufundi na wachezaji,matola Suleiman apewe shughuli nyingine uyo mswahili ni rahisi kupenyezewa coins akasaliti timu! pia hana nyota ya bahati na mafanikio kwenye ukocha.
Manula atolewe hata kwa mkopo ni msaliti na mchezaji mwenye tamaa.
Jambo la muhimu viongozi waitishe vikao na viongozi wa matawi yote ya mikoa ambayo ina timu zinazoshiriki ligi kuu ili watengeneze link ya mawasiliano na makao makuu ya club hii itasaidia kuboresha na kupanga mikakati mizito ya ulinzi nje ya uwanja ili timu iwe na uhakika wa ushindi mechi zote za mikoani.