Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Tajiri hana baya, yaan ss hv akitokea mjinga yoyote na kumtusi na kumdhalilisha Mo Dewji huyo kazi anayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
benchi la ufundiKwahiyo timu ikifanya vibaya lawama atatupiwa nani?
Mo hajahusika kuleta hilo benchi la ufundi?benchi la ufundi
Kisa kamsajili KIJILI sio?Tajiri hana baya, yaan ss hv akitokea mjinga yoyote na kumtusi na kumdhalilisha Mo Dewji huyo kazi anayo
Ila watu tunatofautiana sana. Yaani una mkataba na timu, unapokea mshahara wa kila mwezi tena mshahara mzuri tu, halafu unakubali kabisa kupokea mlungula kuihujumu timu inayolisha familia yako. Tamaa mbaya sana hii.Pambaneni Manula awafuate wasaliti wenzake Inonga na Chama. Vinginevyo Manula akibaki taaabu iko pale pale, wahuni watamtumia kama dalali kuwarubuni waliopo on fire.
Hivi hata zile timu za Waarabu zikija huwa zinawapatia wachezaji wenu mlungula ili wafungwe!Ila watu tunatofautiana sana. Yaani una mkataba na timu, unapokea mshahara wa kila mwezi tena mshahara mzuri tu, halafu unakubali kabisa kupokea mlungula kuihujumu timu inayolisha familia yako. Tamaa mbaya sana hii.
Tena kama haujui huko mashindano ya CAF ndiyo kuna milungula balaa, kuanzia kwenda kwa wachezaji hadi waamuziHivi hata zile timu za Waarabu zikija huwa zinawapatia wachezaji wenu mlungula ili wafungwe!
WanachamaKwahiyo timu ikifanya vibaya lawama atatupiwa nani?
We nae unaamini kirahisi kwamba wakina manula walipokea mlungula ila wafungwe tano? Hizo ni siasa za simba na yanga wakifungwa lazima watafute mchawi hata kama wamefungwa kihalaliIla watu tunatofautiana sana. Yaani una mkataba na timu, unapokea mshahara wa kila mwezi tena mshahara mzuri tu, halafu unakubali kabisa kupokea mlungula kuihujumu timu inayolisha familia yako. Tamaa mbaya sana hii.