Mo Dewji amemaliza kazi yake, hatuna cha kumdai zaidi ya sisi kupambana wenyewe kuwasaka wasaliti ndani ya timu

Mo Dewji amemaliza kazi yake, hatuna cha kumdai zaidi ya sisi kupambana wenyewe kuwasaka wasaliti ndani ya timu

Screenshot_20240118-191846_(1).png
Shabiki wa Simba huyu. 😃😃😃😃😃
 
Pambaneni Manula awafuate wasaliti wenzake Inonga na Chama. Vinginevyo Manula akibaki taaabu iko pale pale, wahuni watamtumia kama dalali kuwarubuni waliopo on fire.
Ila watu tunatofautiana sana. Yaani una mkataba na timu, unapokea mshahara wa kila mwezi tena mshahara mzuri tu, halafu unakubali kabisa kupokea mlungula kuihujumu timu inayolisha familia yako. Tamaa mbaya sana hii.
 
Hivi hata zile timu za Waarabu zikija huwa zinawapatia wachezaji wenu mlungula ili wafungwe!
 
Timu inahitaji pesa, wachezaji wazuri, bechi la ufundi lenye uwezo na menejimenti ya uhakika.
Mo bado ana dhima kusimamia uongozi uliopo ili uwekezaji wake uzalishe matunda.
 
Kwenye uongozi bado kuna tatizo! Mangungu, CPA Masoud, Mr Muba hao watu ni virusi watafanya juu chini Simba isifanikiwe!
Wanachama wangefanya juu chini hao watu watolewe wasishiriki vikao vyovyote vya bodi ya wakurugenzi.

Kwenye bechi la ufundi na wachezaji,matola Suleiman apewe shughuli nyingine uyo mswahili ni rahisi kupenyezewa coins akasaliti timu! pia hana nyota ya bahati na mafanikio kwenye ukocha.

Manula atolewe hata kwa mkopo ni msaliti na mchezaji mwenye tamaa.
Jambo la muhimu viongozi waitishe vikao na viongozi wa matawi yote ya mikoa ambayo ina timu zinazoshiriki ligi kuu ili watengeneze link ya mawasiliano na makao makuu ya club hii itasaidia kuboresha na kupanga mikakati mizito ya ulinzi nje ya uwanja ili timu iwe na uhakika wa ushindi mechi zote za mikoani.
 
Ila watu tunatofautiana sana. Yaani una mkataba na timu, unapokea mshahara wa kila mwezi tena mshahara mzuri tu, halafu unakubali kabisa kupokea mlungula kuihujumu timu inayolisha familia yako. Tamaa mbaya sana hii.
We nae unaamini kirahisi kwamba wakina manula walipokea mlungula ila wafungwe tano? Hizo ni siasa za simba na yanga wakifungwa lazima watafute mchawi hata kama wamefungwa kihalali
 
Naona umebadilika mazimaaa...usije ukaasi tena chama lako..hatupendi vigeu geu..tuwe wote kwenye shida na raha...
 
Back
Top Bottom