Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,560
manara anaongea kwa mihemko sana yuleManara alisema huyo ndio kocha bora KBS ktk ligi yetu ambae amewahi kuwa kocha kwenye kombe LA dunia na pia kushinda ubingwa ktk mashindano ya Caf.
Lkn Leo hii ndio amekuwa kocha mbovu KBS ktk ligi.
Manyika ni kipa Wa kiwango cha kawaida sana sema anapaishwa na media na jina la babake basiomog anakariri wachezaji ana tabia ya kusugulisha benchi wachezaji wazuri mfano Mo ibrahim angalia alivyodidimiza kipaji cha Manyika afadhali wamemtoa mapema pia mbinu yake kubwa ni ulinzi
Hiyo ni kweli kabisaManyika ni kipa Wa kiwango cha kawaida sana sema anapaishwa na media na jina la babake basi
Point mkuu nimependa wazo lakoInawezekana Omog akawa in tatizo Simba, lakini nnachokiona Mimi tofauti sana.
Kama washabiki tumeamua kumtwisha zigo la ' Mavi ' kocha tu.
Mosi, Nafikiri ulifanyika usajili wa majina tu pale Simba kuliko kuangalia uhalisia. Mfano, unamuachaje Janvier Besala Bokungu kwaajili ya Ally Shomari au mchezaji ' majeruhi ' Kapombe?
Pili, wachezaji was Simba naona wanaamini kuwa wao ni ' wakubwa ' kuliko timu. Sioni timu ikiwa na spirit ya ushindi uwanjani, kifupi wachezaji ' hawajitumi ' kabisa. Most of them ni mizigo tu.
Faida ya kuwa na wachezaji wanaoitwa ' wazoefu ' ni ipi kama wanashindwa kusoma mbinu za timu ndogo kama ile ya Jana?
Ni ujinga na uwendawazimu kuendelea kumtupia lawama kocha pekee.
Nafikiri ' reform ' inahitajika hata kwa wachezaji wa Simba ambao ' tunaaminishwa ' eti wa mabilioni ya pesa.
Nawasilisha..!
HahhahhahaWanamuonea angefukuzwa mkude na yule shabalala washenzi sana
Baada ya kufungwa na grw thimbwaaaaView attachment 657658
Naungana na Mo Dewji,huyu kocha hawezi kuwa na kipya tena
---------
Baada ya SAA kadhaa kupita..
Klabu ya Simba na Kocha wake Mkuu Joseph Omog wameamua kwa pamoja kuvunja mkataba baina yao kwa makubaliano maalum yanayozingatia maslahi ya pande zote mbili
> Uongozi wa Simba SC umesema unamshukuru kocha Omog na kumtakia kila la kheri kwenye maisha yake nje ya Simba..
Manara mamuluki tu huyo, kavaa nepi za yanga kanywa maziwa ya yanga kasomeshwa na yanga, huyo sio Simba ni adui waoManara hanaga sahihi. ? Anyway kila la heri Simba Sports Club
Kwa akili yako unadhani kafukuzwa sababu ya kina Zimbwe kukosa matuta?Wanamuonea angefukuzwa mkude na yule shabalala washenzi sana
Kuna msiba msimbaziKwani nini kinaendelea hapa?