kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Mwaka huu tutaona kila rangi!Juzi Kati Kwenye akaunti ya tweeter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho ajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu Uteuzi uliofanywa na club ya Simba akidai taratibu azijafuatwa.
Baadaye Mo anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
Katika hili namuunga mkono Dr Kigwangalla!Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Mkopo sio aibu..

Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligiMkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
Hahahaha unamaanisha CCM mna hali mbaya bwashee???Mwaka huu tutaona kila rangi!
HASIRA za kigwangwala siyo upendo kwa simba ni hizo pikipiki....mtu hajaanza kazi keshaanza kulalamika mbona yeye kasomea afya yuko utaliii,hata mwanamama wa chelsea hakuwa na uzoefu wa sports lakini leo kawazidi hata kina ed woodwardMkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..
Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
MO yuko sawa kwa 100%.Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi