Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Kigwa anaweza kuwa nahoja, lkn hoja zake zimeathiriwa na chuki yakunyimwa mkopo, hoja hizo ilitakiwa azilete mtu huru zingekua na mantiki.
 
Ninavyozijua club za Simba na Yanga, Mwisho wa MO ndani ya CLUB ya Simba sio mzuri.
Pamoja na mema mengi aliyoyafanya ndani ya club lakini kuna siku watamtupia virago.
Muliize mzee Dalali.
Hizi Timu kamwe haitatokea zikamilikiwa na mtu kama ilivyo chama cha CCM.
Uundwaji wake na historia yake ni ya kipekee Duniani.
 
Bhasi mngekuwa nao toka mwaka 1936 si wamazoezi tuu...??? Unadhani bei ya lie carpet la majani bandia ni mil 200 etiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kila mtu anajibiwa tokana na hoja yakee wewe ndo unaruka rukaa... Jengeni unaoingiza hela bhasi[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Mi nauliza Yale matangazo ya bidhaa za mo kwenye jezi za Simba, team inanufaika vipi??? Analipa?? Maana isijekua thamani ya hayo matangazo ndo ya kusajili na kulipa na kuendesha team, halafu hajaweka hata sent kwenye bilioni ishirini, sisi tunaona anaisaidia Sana team, kumbe ni halali (malipo ya matangazo ya bidhaa zake nyingi Sana)
KWA hili nasimama na Kigwangala
 
Sasa wewe ulitegemea yeye ajilipe vipi??? Kwani timu ya baba yake ileee... Everton wanavaa Jezi imeandikwa Sportpesa unadhani waliamkaa tu na kuandika sportpesa[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wabongo mnapenda mteremko sanaaa... Ndo maana ya kuinvest na kumake deal..
 
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.


Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Hao wenye hisa 51 wametoa nini mpaka sasa. Na je katika ile ruzuku ya billion 3 inayotoka kila mwaka hawa 51 wanachangia ngapi.
 
Simfagilia MO kwa ufisadi wake ila nampongeza kwa kumnyima mkopo KIGSWI ,Mo nadhani amestukia mchezo kwamba KIGSWI angemdhulumu......Haiwezekani Waziri Mzima ambaye anakunja kipindoni karibu milioni 19 kwa mwezi ashindwe kununua "TOYO" aka MO BOXER 25?? Tukichukulia Evarage ya Boxer moja 2.2m kwa 25 ni around 55m.....Hivi ni kweli Kigswi ameshindwa kutoa mil 55 kununu hizo Boxer 25? Hapa Kigwa alitaka kumdhulumu MO maana wanasiasa hasa mawaziri wanapenda sana kuchukua vitu bure bre bila kulipa siku ukimdai anaanza kukuambia haulipi kodi mara nitakuletea TRA mara nitakuleta watu wa TEETH na bla bla kibao.
 
Hakuna utu uzimaaa... Hamisi kazinguaa!! Anakomalia UCEO utadhani ana hisa simbaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo sio CEO tatizo ni mkopo wa pikipikii.. Kwani huyo Sezo alifukuzwa simbaa????

Hamis hisa anazo Simba
Ni zile 51%
 
Bashite kafanyaa sanaa hayaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saa hizi naona kaacha kwenda hata kwenye Mikutano ya kampenii kama mbwai na iwe mbwaiii..
 
Yale yanalipiwa, nakila moja ni mil 250 kwa mwaka. Endelea kusimama na Kigwangala
 
Kigwa anaweza kuwa nahoja, lkn hoja zake zimeathiriwa na chuki yakunyimwa mkopo, hoja hizo ilitakiwa azilete mtu huru zingekua na mantiki.
Ni kweli alitakiwa Hamisi kuwa huru. Hata hivyo, Mudi alitakiwa kujibu hoja hiyo ya Hamisi bila kutwambia siri za mteja wake. Kitendo alichokifanya Mudi kinaweza kutafsiriwa kama anatafuta huruma ya mashabiki wa Simba kuficha mambo amekiuka kama mdhamini wa Simba.
 
Hapa kuna Siri Huyu Dr tunamjuwa na Mo tunammanya. Basi natusubiri
 
Yale yanatakiwa yalipiwe, na hakuna favour yoyote mo anafanyia simba, Kuna mdau amesema kila tangazo ni milion 250, bidhaa zake ni nyingi anazozitangaza kupitia SIMBA. Remember SIMBA ni brand kubwa Sana Africa. MO ndo anapenda mteremko. Atoe hizo 20billions. Kigwangala Ana hoja za msingi ZINAZOHITAJI MAJIBU ya kina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…