rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Hamna kitu hapooo...Sasa pikipiki na Corona wapi na wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MO ampuuze tu..View attachment 1560152
Huyu ni waziri zero brain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna kitu hapooo...Sasa pikipiki na Corona wapi na wapi???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MO ampuuze tu..View attachment 1560152
Huyu ni waziri zero brain
Kwa akili yako Club kama ya Simba kuna Mwendawazimu gani anaweza toa 20Bil sh awekeze akitegemea itarudi ndanii ya Mwaka????? Nani anaweza fanya huoo utumbooo???? Achana na pesa za kwenye makaratasi kijanaa ngoja MO atoke alafu tafuteni Lofa ambae atadeposit hiyo hela mara moja kama mnavyotaka nyie... Hakuna biashara isiyokuwa na faida lakini MO akisema atoe Bil 20 walahi haitarudiii... Hela za bongo hizi vod wanakupa mil 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849]Kwahiyo MO amewekeza 20b ili kuihamisha SSC kutoka bongo kuipereka ligi ya nchi ipi?..au billionaire MO atakua anaweka mapesa tuu kila mwaka Kwa kuwa yeye na Simba damu damu?
MO yuko sawa kwa 100%.
Hakuna utu uzimaaa... Hamisi kazinguaa!! Anakomalia UCEO utadhani ana hisa simbaaa[emoji23][emoji23][emoji23] Tatizo sio CEO tatizo ni mkopo wa pikipikii.. Kwani huyo Sezo alifukuzwa simbaa????Mudi Dewji kakosea kutamka mambo ya mikopo binafsi wakati issue inahusu suala la Simba. Hamisi kama ni mwanachama halali wa Simba naye kakosea, alitakiwa kutumia majukwaa halali ya kikatiba ya Simba kuhoji uwekezaji huo. Hata hivyo, Hamisi kamjibu kiutu uzima Mudi juu ya suala la mkopo.
Kweni kabla ya mo kulikua hakuna simba? Au kabla ya Gsm kulikua hakuna Yanga?Bhasi Ngoja MO atoke yale majengo yalishe club na kulipa mishaara ndo utajua hujuii...!! Najua utasema kuna mwekezaji atawekeza maana ndo mnachowaza kichwani kuwa simba ni Brand bongo kuwa Brand alafu huwezi kujiendesha ni takataka tuu kama Yanga kila siku wanaliaa hao GSM siasa nyingii wanamkumbuka Manji now..
Sasa kuna wapuuzi wachache wanataka MO aweke Bil 20 chapa hapo ndo janja nyingine zianze vile wabongo ni weziii kila idaraa yani wataziiiba tu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anachosema Kigwangala leo hakina nguvu sababu Klabu inapata matokeo, Lakini siku matokeo yanakuwa kinyume MO atapigwa mawe kweli bila kutoa hizo Bill 20.
Duh..umenifanya niwaze Sana kuhusu ligi ya Tanzania..SASA kama leading teams za Simba na yanga mnasema wako mahututi the rest of the league si ni balaa?..soccer ni mchezo unaopendwa Sana nchini na Duniani, kuna fursa nyingi za kutengeneza pesa.. billionaires wanajua.. wanachama hawana knowledge kubwa kwenye business side ya mpira, wao wanataka magori na chenga tuu..mpira na betting companies ndio channel nyingine watu wanapiga pesa..SASA nyie mmebaki kwenye mapenzi na timu wenzenu wanapiga pesa. No foolish billionaire will spend their money for no reason, even charity work kwao ni opportunity to make more.Bhasi Ngoja MO atoke yale majengo yalishe club na kulipa mishaara ndo utajua hujuii...!! Najua utasema kuna mwekezaji atawekeza maana ndo mnachowaza kichwani kuwa simba ni Brand bongo kuwa Brand alafu huwezi kujiendesha ni takataka tuu kama Yanga kila siku wanaliaa hao GSM siasa nyingii wanamkumbuka Manji now..
Hayo ya kablaa wewe hukuwepoo na pia Kabla ya MO simba ilikuwa na Uwanja??? Toka mwaka 1936 hadi leo simba suala la uwanja ilikuwa ndotoo ya kwenye makaratasi au unadhani ule uwanja MO katumia hela za viingilio kujenga????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inashngaza sana shabiki wa simba kukaa na kuongea vitu ambavyo kama hufikiriii... Unadhani kuendesha club mwaka 2000 ni sawa na leo???? Mambo yanabadilika waulize Yanga wanakwama wapi baafa ya Manjo kuondoka...mbona toka miaka hiyo hawakuwahi tembeza bakuli...ulizaKweni kabla ya mo kulikua hakuna simba? Au kabla ya Gsm kulikua hakuna Yanga?
Nashukuru Kwa kusema reality.. nimekuelewa sanaKwa akili yako Club kama ya Simba kuna Mwendawazimu gani anaweza toa 20Bil sh awekeze akitegemea itarudi ndanii ya Mwaka????? Nani anaweza fanya huoo utumbooo???? Achana na pesa za kwenye makaratasi kijanaa ngoja MO atoke alafu tafuteni Lofa ambae atadeposit hiyo hela mara moja kama mnavyotaka nyie... Hakuna biashara isiyokuwa na faida lakini MO akisema atoe Bil 20 walahi haitarudiii... Hela za bongo hizi vod wanakupa mil 100[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji849][emoji849]
Shukuruni timu inaenda hayo mengine mtaishia kulia lia tuu..
Mudi Dewji kakosea kutamka mambo ya mikopo binafsi wakati issue inahusu suala la Simba. Hamisi kama ni mwanachama halali wa Simba naye kakosea, alitakiwa kutumia majukwaa halali ya kikatiba ya Simba kuhoji uwekezaji huo. Hata hivyo, Hamisi kamjibu kiutu uzima Mudi juu ya suala la mkopo.
Weka salary slip yake mpumbavu wewe. We unasikia tu maneno ya mtaani. Pesa zao zinapitia benki na kwa taarifa yako WANAKATWA P.A.Y.E au unadhani ni siri? Na hivi kila mwajiriwa lazima awe na TIN ndio utaumbuka mchana kweupe bwege wewe.Et hela ya Vodacom. Hata mshahara wa mchezaji mmoja kwa mwaka hautoshi. Voda wanatoa 100m na fraga peke yake anakula 180m hapo hujaenda kwa wengine. Wachezaji Kama 25 unahisi Kuna kinachobakia? Sasa hapo bado Simba karibia safari zao zote wanaenda kwa ndege unaweza kadiria wanatumia kiasi gan kwa safari moja? Msosi je, motisha wanaposhinda? Gharama za usajili ?
Hizo hela za udhamini ni ndogo sana kwa uendeshaji wa timu. Mfano Yanga walikua na udhamin Kama wa Simba na bado walikua wanapitisha bakuli. Alipokuja gsm ndio ahueni
Duh..umenifanya niwaze Sana kuhusu ligi ya Tanzania..SASA kama leading teams za Simba na yanga mnasema wako mahututi the rest of the league si ni balaa?..soccer ni mchezo unaopendwa Sana nchini na Duniani, kuna fursa nyingi za kutengeneza pesa.. billionaires wanajua.. wanachama hawana knowledge kubwa kwenye business side ya mpira, wao wanataka magori na chenga tuu..mpira na betting companies ndio channel nyingine watu wanapiga pesa..SASA nyie mmebaki kwenye mapenzi na timu wenzenu wanapiga pesa. No foolish billionaire will spend their money for no reason, even charity work kwao ni opportunity to make more.
Nashukuru Kwa kusema reality.. nimekuelewa sana
Hujui mchakato mzee unatupigia kelele, hizo hisa 51% zitasajiliwa soko la hisa nazitepewa thaman ya fedha kila mwanachama akitaka ataeenda kununua hisa ,wanachama wote watabakiwa na 5% ndio hazitouzwa,lkn asilimia 46 zitauzwa kwa kwa wanachama nahakuna mtu atakaeruhusiwa kununua zaida ya 10%.Ww unaonekana hujui chochote kuhusu uwekezaji. SIMBA KAMA SIMBA WAO WANABRAND AMBAYO NI HIYO KLABU HIVYO KWAO MTAJI NI TIMU HIVYO BASI MO ANAPASWA KUWEKA PESA KWA MAANA HANA TIMU PALE. KWA MFANO WW UNA KIWANJA AU NYUMBA AFU MTU ANATAKA MSHIRIKIANE MUANZISHE BIASHARA YA KUFUGA KUKU WE UNADHANI UTATOA PESA YA MTAJI WAKATI USHACHANGIA HIYO NYUMBA?
51% zaupande wawanachama zinasajiliwa DSE nenda kanunue ili uingie kwenye bodi uhoji hayo.Hiyo brand ya SSC unahisi INA wealth kiasi gani, Registration ya club, mjengo , wachezaji... hakuna pesa inaweza Jenga yote hayo ndani ya 1year... Azam wenyewe itawachukua 20yrs kufikia nusu ya hadhi ya brand ya SSC .
Mkuu panga hoja vizuri maana unarukaruka tu.Hayo ya kablaa wewe hukuwepoo na pia Kabla ya MO simba ilikuwa na Uwanja??? Toka mwaka 1936 hadi leo simba suala la uwanja ilikuwa ndotoo ya kwenye makaratasi au unadhani ule uwanja MO katumia hela za viingilio kujenga????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Inashngaza sana shabiki wa simba kukaa na kuongea vitu ambavyo kama hufikiriii... Unadhani kuendesha club mwaka 2000 ni sawa na leo???? Mambo yanabadilika waulize Yanga wanakwama wapi baafa ya Manjo kuondoka...mbona toka miaka hiyo hawakuwahi tembeza bakuli...uliza