CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Tangia uone GSM wameweka BAKULI?Yanga wanahao sport pesa,wana gsm(kama mdhamini akiwa),azam tv,Vodacom,Taifa gas nakila kitu anachopata Simba yanga anakipata Je kwa nn walikuwa wanatembeza bakuli?. Kwa nini wanashindwa kuendesha timu kwa faida wakalipa wachezaji mishahara?.