Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Ukiacha ushabiki, mo alitakiwa ajibu hoja!
Baada ya kujibu ndo tungejua km Dr anamchukia mo kwakumyima mkopo Dr kigwa.
Hapa naona Dr anahoja ya msingi km mo analichukulia poa ipo siku litamgalimu hili swala.
Mo janja janja nyingi sana,
Hata majibu yke wakati akihojiwa wa wasafi fm aliishia kusema yy siyo wakukoswa Billioni 20 hakika lilikuwa jibu la kufikilisha na kuongeza maswali.
Hili la CEO mpya nalo linafikilusha , huwezi muweka mtendaji mkuu wa club kubwa km simba kwa stail ile na mtu wakalibu hivyo hafu , hii wanataka kuanza kuongeza zero zero kwenye makaratasi ili kufunga hesabu za 20bil.

Hapa tutaanza kuona sababu za senzo kuondoka simba, yawezekana huo mchezo senzo aliukataa. Wakaona wambinue. Akaamua kujiachia mwenyewe kulinda cv.
Tufanye uliyoandika yote niukweli kwahio tumfukuze MO?.
 
Ila Kama unaingelea suala CEO wa Simba pekee Kingwa yuo sahihi...hayo mengine wanajuana wenyewe!
Ila siku Mimi huwa nasema MO Ni Mswahiliswahili Sana! Huwa akikisolewa kidogo tu kuhusu Simba anapaniki!
Simba Ni Timu ya Watu sio Kxmpuni ya vinywaji vya kuongeza nguvu!
Kwahio achukuliwe hatua gani?, mO au anyang'anywe timu?. Tatizo hamuandiki afanywaje MO.
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda


View attachment 1559971
========
View attachment 1559972

Ndugu wajumbe hapa ni ukomavu wa akili tu Kigwangalla ana ushamba sana sana tena awamu hii anapitiliza ujinga wake. Kumshangilia Kigwangalla ni undezi wa hali ya juu sana, mbali na hilo kuna harufu ya rushwa kabisa kuhusu pikipiki, hana jinsia ya kiume kwenye matumizi ya mitandao ya kijamii, na hulka hii hafai kuwa Waziri na sifa ya uongozi ni zero, ukisoma habari za mandezi Kama hao unatamani Magu ashindwe japo si wazo jema kiccm ccm na kizalendo
 
Tutafutieni mbadala wa MO ili aje alipe mishahara yawachezaji na wafanyakazi wote. Kisha baada yahapo ndio mtueleze MO hafai.
We aliyekuambia MO analipa mishahara ya wachezaji ni nani? Analipa kama nani? Pesa anaitoa wapi katika kampuni zake? Na anazitoa kwa transaction zipi ili kuweza kubalance financial statements za makampuni yake? Ushawahi kuona vitabu vya Mo enterprisses? Kama mo ndio analipa tena anatoa kutoka Account yake binafsi aweke ushahidi na ikiambatana na bank statements zake. Vinginevyo hizo pesa unazoziona ameziwekea utaratibu tu kwamba ni part ya expenses ya makampuni yake katika sehemu ya advertisement. Na kama ndio hivyo maana yake hatoi kama yy inatoa Kampuni kama malipo ya matangazo ya biashara za kampuni zake. Nashauri ni wakati mwafaka sasa tuache ushabiki wowote na yy aeleze hizo pesa anazitoa wapi na anatoa kama hisani au malipo ya matangazo ya biashara zake.
Lkn ikumbukwe kutoa pesa bila sababu sahihi kwa mgongo wa matangazo wakati kumbe anasaidia ni moja ya njia ya kukwepa kodi tena iliyo kinyume cha sheria. TAKWA LA MSINGI NI KWAMBA YEYE KAMA MO DEWJI MAMLAKA YA KUWA MMILIKI AMEYAPATAJE IKIWA HAJAINGIZA MTAJI WAKE? ULIONA WAPI MTU ANAWEKA HISA KWA MANENO NA AKAWA MAJORITY SHAREHOLDER? HATA HIVYO YY ANA HISA 49% HOW POSSIBLE YY AWE NDIO MAJORITY SHAREHOLDER? KWNN UPANDE ULE WENYE 51% WAO NDIO WASITAFUTE HUYO CEO KWA MAANA UPANDE HUO NDIO WENYE SAUTI?
NA NI KWANN MO AKIULIZWA KUHUSU BIL 20 AU UMILIKI ANAPANIKI HOVYO? HAMLIONI TATIZO LOLOTE?
USHAURI WANGU MO DEWJI ABAKI KAMA MDHAMINI KUPITIA MAKAMPUNI YAKE KWA MAANA AMESHINDWA KUWEKA MTAJI WAKE MWAKA WA 2 SASA ANAPATA FAIDA NA ILE KLABU LKN KILA SIKU ANALALAMIKA ANAPATA HASARA, UKIULIZIA VITABU MIZANIA VYA SIMBA ANAKUWA MKALI SASA SHIDA NINI. AACHE KLABU NA AJIUZULU NAFASI YAKE ABAKI KAMA ZAMANI KUWA MFADHILI.
 
Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?

Kigwangala bana mara nalima maelfu ya ekari za mchele,mara nina ng'ombe maelfu, kila siku anaimba imba ooh vijana hawana ajira sababu they don't think out of the box kumbe yeye mwenyewe ombaomba tu.,mafao yake ya ubunge hataki kuyanunulia Pikipiki za wajumbe ila hela za MO ndio za kufanyia hayo.
Dhamana anaweka matako yake kigwa anataka kujinufaisha kupitia mgongo wa ushabiki wa Simba
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi

Lakini huyu Kigwa nae asingenyimwa mkopo asingehoji hayo.. wacha Mo amlipue tu.
 
Halafu huyu kusema anaomba mkopo ni uongo.. wanawaambiaga hivi hivi hawa wafanya biashara kuwa wanaomba kukopa, halafu hawarudishi. Wakiombwa walipe wanatumia kinga ya Rais.. Kunyimwa mkopo ndio hasira zote hizi. Mo kama una mambo yake mengine yatoe please.. huyu Kigwangala ana mengi sana.
 
We alyekuambia MO analipa mishahara ya wachezaji ni nani? Analipa kama nani? Pesa anaitoa wapi katika kampuni zake? Na anazitoa kwa transaction zipi ili kuweza kubalance financial statements za makampuni yake? Ushawahi kuona vitabu vya Mo enterprisses? Kama mo ndio analipa tena anatoa kutoka Account yake binafsi aweke ushahidi na ikiambatana na bank statements zake. Vinginevyo hizo pesa unazoziona ameziwekea utaratibu tu kwamba ni part ya expenses ya makampuni yake katika sehemu ya advertisement. Na kama ndio hivyo maana yake hatoi kama yy inatoa Kampuni kama malipo ya matangazo ya biashara za kampuni zake. Nashauri ni wakati mwafaka sasa tuache ushabiki wowote na yy aeleze hizo pesa anazitoa wapi na anatoa kama hisani au malipo ya matangazo ya biashara zake.
Lkn ikumbukwe kutoa pesa bila sababu sahihi kwa mgongo wa matangazo wakati kumbe anasaidia ni moja ya njia ya kukwepa kodi tena iliyo kinyume cha sheria. TAKWA LA MSINGI NI KWAMBA YEYE KAMA MO DEWJI MAMLAKA YA KUWA MMILIKI AMEYAPATAJE IKIWA HAJAINGIZA MTAJI WAKE? ULIONA WAPI MTU ANAWEKA HISA KWA MANENO NA AKAWA MAJORITY SHAREHOLDER? HATA HIVYO YY ANA HISA 49% HOW POSSIBLE YY AWE NDIO MAJORITY SHAREHOLDER? KWNN UPANDE ULE WENYE 51% WAO NDIO WATAFUTE HUYO CEO KWA MAANA UPANDE HUO NDIO WENYE SAUTI?
NA NI KWANN MO AKIULIZWA KUHUSU BIL 20 AU UMILIKI ANAPANIKI HOVYO? HAMLIONI TATIZO LOLOTE?
USHAURI WANGU MO DEWJI ABAKI KAMA MDHAMINI KUPITIA MAKAMPUNI YAKE KWA MAANA AMESHINDWA KUWEKA MTAJI WAKATI MWAKA WA 2 SASA ANAPATA FAIDA NA ILE KLABU LKN KILA SIKU ANALALAMIKA ANAPATA HASARA, UKIULIZIA VIYABU VYA SIMBA ANAKUWA MKALI SASA SHIDA NINI. AACHE KLABU NA AJIUZULU NAFASI YAKE ABAKI KAMA ZAMANI KUWA MFADHILI.
We jamaa una akili sana
 
MO NIMEKUPENDA SANA LEO. HUYU JAMAA KIGWA MSHAMBA SANA. NDIO WALIOCHANGIA KUTUKANISHA HII SERIKALI KWA KIASI KIKUBWA SANA.
 
Sijui ngozi nyeusi tutajifunza lini,tukiona hawa wa rangi nyeupe basi akili zinaturuka, kuna siku Mo atachukua mikopo benki kwa kutumia klabu cha Simba,wana bahati Mzee Kilomoni aliliona hilo mapema ingawa kwa sasa Kilomoni anaonekana mkuda,kuna siku watakuja kuona busara zake,Mo ni mjanja mjanja tu kama alivyokuwa Manji na Yanga.

Kuna watu humu washamba bado wa ngozi nyeupe..kutwa kumtetea
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Kwani Mo Ni benki?
 
Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
Amenishangaza sana huyu waziri
Kwanza Ni kinyume na maadili waziri kuomba omba kwa wafanyabiashara
Inabidi tuchunguze zile pikipiki alizogawa jimboni mwake inawezekana kapewa mmiliki wa vitalu vya uwindaji
 
Naona MO aligoma kutoa pikipiki za kuhonga wajumbe,Dewji anakopa Bank kwa kutumia assets zake kama dhamana(Collateral), yeye Kigwa anaomba mkopo kwa MO akiweka Dhamana ya kitu gani?

Kigwangala bana mara nalima maelfu ya ekari za mchele,mara nina ng'ombe maelfu, kila siku anaimba imba ooh vijana hawana ajira sababu they don't think out of the box kumbe yeye mwenyewe ombaomba tu.,mafao yake ya ubunge hataki kuyanunulia Pikipiki za wajumbe ila hela za MO ndio za kufanyia hayo.
Kwa kutumia cheo
 
Watu mnafanya attack kwa Kigwangala kama vile mna chuki nae, hoja ya msingi je Upatikanaji wa CEO vigezo vimezingatiwa au upendeleo?

Simba ni club kubwa na Kigwangala ni shabiki lazima aseme sasa mlitaka akae kimya eti kwakua aliomba mkopo wa pikipiki akakosa?
Mo ameona hoja ya kumnyima mkopo Kigwangala ina mashiko yoyote kwenye suala la Club? Au amelewa sifa.

Sitaki kuonesha ubaguzi wa rangi ila wahindi huwa ni washenzi sana
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Kumbe ndani ya mikia Kuna akina manara wengi
 
Back
Top Bottom