Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Kaandika twit karibu 10 hadi usiku wa mananee... MO ashlala kitambo kamuachia apambanee naloo la mkopoo

Safi sana, Mo akiweza asimjibu kabisa.

Amwache aendelee kupambana na hiyo tweet moja.
 
Atajibu hayo ndani vikao halali vya Simba, hilo jibu alilomjibu Kigwa kamjibu inavyostahili maana Kigwa kilichomsukuma kuuliza sio mapenzi aliyonayo kwa Simba, bali nichuki aliyonayo kwa MO baada yakukosa mkopo.

Halafu hii tabia ya wasiasa kukopa kwa wafanyabiashara wakubwa haina conflict of interest, vipi na MO akitaka kukopa kitalu cha uwindaji?. Kigwa angepewa mkopo wa bodaboda asingeweza kumpendelea MO kwa namna moja au nyingine kama atahitaji kuwinda Simba wetu huko porini?.
 
Yeye Mo sio mkweli..
Anataka geuza Simba kama Mali yake binafsi
Hisa zake ni asilimia 49 Tu na hajalipa hiyo hela.


Watu wenye hisa hisa asilimia 51 wanayo haki ya kuuliza
Hivi kuna mtu ameshanunua hata hisa moja ?
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Sawa ila tuwe wa kweli je Kigwangala huyu tunamjuwa angepewa zile pikipiki angekuwa jasiri kuja hapa nakujifanya anahuruma na Wana Simba? Tuseme ukweli hapa Kigwangala anatumia cheo chake kumuumiza MTU Kwa sababu binafsi. Take it correctly watu tuna akili Sana.
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Huo ni mkopo angeomba kupewa bure angekuwa na haki ya kumsema
 
Mudi alitaka kuonesha watu Kwanin hamis kawa mbogo, kwanini anahoji b20 Sasa. Kwanini hatumii njia nzuri kufikisha ujumbe wake. NI KUNYIMWA MKOPO. Hivyo watu watakapojaj maneno ya hk watake consideration na Hilo.
 
Zilikuwepo ila zilikua na hali gan? Hiv unataka kusema Yanga iliyokua inatembeza bakuli ni sawa na Yanga ya Manji kuanzia uendeshaji na kushinda makombe na mataji? Mpira pesa bwana
Kweni kabla ya mo kulikua hakuna simba? Au kabla ya Gsm kulikua hakuna Yanga?
 
Mpumbavu mwenyewe usiyekuwa na akili huwezi kuchangia mpaka utukane. Wewe unayebisha ndio unatakiwa utoe ushahidi sio unabisha kijingajinga tu. Sema fraga analipwa kiasi gan kwa mwezi na ukizidisha kwa miezi 12 anapata kias gan kwa mwaka?
Weka salary slip yake mpumbavu wewe. We unasikia tu maneno ya mtaani. Pesa zao zinapitia benki na kwa taarifa yako WANAKATWA P.A.Y.E au unadhani ni siri? Na hivi kila mwajiriwa lazima awe na TIN ndio utaumbuka mchana kweupe bwege wewe.
 
Kwahiyo point yako ni nini hasa?
 
Waziri anafanya mambo ya kipuuzi kama vile hana washauri.

Sifa za kijinga kama vile kuwarusha kichura watu wazima mbele ya kamera.
Mkuu waziri ndo mkubwa katika lile jeshi usu la uhifadhi.
Huwezi ukamdharau mkuu wako alafu akuache hivihivi labda kama ni mara yako ya kwanza kuona yale mambo.

Ukiwa maeneo ya jeshi waweza ona baba wa mtu anarukishwa kichura chura kwa kosa dogo tu.
 
Sasa mkopo kutoa ilikuwa ni lazima?? Ili aprove kuwa yeye ni billionaire inabidi amwage mikopo kwa watu? Huyu kijana jamani sijui hata CCM walimtoa wapi? Anatia aibu sana.
mwaga na wewe ulichonacho tuone. hiyo sio biashara ya mandazi. masikini wa fikra pekee ndio mnafikiria amwage
 
Mo hajalipa Tshs 20 bil ili amiliki 49% hisa za Simba... Aweke hadharani hizo Tshs 20 bil ziko wapi? Wenye umiliki wa 51% ndio wanatakiwa kuuliza ukweli uwe wazi.. Hapa Simba kapigwa.
 

Hahaha,hivi banks hazitoi mikopo tena?,if not kwanini asiende kopa huko?

hatari sana hawa jamaa
 

Acha wachapane tu.
Watu wenye busara wanatatua mambo yao ya ndani kimya kimya, sasa hawa ambao ndi viongozi tunaowategemea tuinge mifano yao wanarushiana maneno kwenye mitandao ambayo watu wengi wanaona si vizuri.
Mtu anaomba mkopoili akatoe rushwa, akinyimwa anakasirika. Hii inatuonesha ni aina gani ya viongozi wa ccm tulio nao.
 
Huyo Kigwanini sijui kigwanomics ndio alisema watu wajiajiri watoke nje ya box? Watu walipoomba aoneshe mfano akarudi hatua 10 nyuma na kubadili mada! Huwa siamini hawa watu wanaohuburi story ambazo wao hawaziishi kiuhalisia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…