Duh, unataka tupokezane bakuli mkuu, hali itakua mbayaNa ndo hali halisiii...!! tena bakuli litatembea haswaa...[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa anaongozaa...!! Yani yule hakuna Nje ya box wala nini... Maisha yake anajua siasaa na ndio maana kila mahali analeta siasaa.Huyo Kigwanini sijui kigwanomics ndio alisema watu wajiajiri watoke nje ya box? Watu walipoomba aoneshe mfano akarudi hatua 10 nyuma na kubadili mada! Huwa siamini hawa watu wanaohuburi story ambazo wao hawaziishi kiuhalisia!
KumbePoint yangu ni kuwa Simba bila MO bakuli lazima Litembeee...hutaki endelea kukaza ubongo!
Siku akitoka nje ya box akaenda Kupractice alichokisomea walau na kuja na matokeo chanya ndio nitamuamini ila kwa story zake ni ngojera tu siasa ndio mwanya wa kucheza dili zake za kificho kujipatia pesaJamaa anaongozaa...!! Yani yule hakuna Nje ya box wala nini... Maisha yake anajua siasaa na ndio maana kila mahali analeta siasaa.
Hahah afu jamaa alikosa hela ya kununua pikipiki 25 tu wkt huo tayari ameshapewa mafao yake ya ubunge ya zaidi ya Tsh.200mil.Hahaha,hivi banks hazitoi mikopo tena?,if not kwanini asiende kopa huko?
hatari sana hawa jamaa
Yes Michezo ya BASHITE hiyo ndio maana mO kamtolea nje maana asingemlipa.Bashite kafanyaa sanaa hayaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saa hizi naona kaacha kwenda hata kwenye Mikutano ya kampenii kama mbwai na iwe mbwaiii..
Ila twitter kiboko..kule kuna spana kishezi,kwa sasa Samia Suluhu anapigwa spana huko za hali ya juu yaani mama atakua hana hamu uko halipo.
Nimefuatilia suala hili kuanzia huko Twitani na hata kwenye vijiwe vya kahawa na ni wazi kuna jambo ambalo halipo sawa kati ya Mo na Kigwa.Kidogo mwanga unaanza kuonekana lakini tuanze kwa kumuangalia Mo.Mo hakuingia Simba kwa mtutu wa bunduki lakini through taratibu za kisheria na mchakato wa muda mrefu.Hili linanipa nguvu ya kuwa maswali ya Kigwa yana evil motive behind kwani kama mtu msomi,waziri na mwanasimba alikuwa na njia nyingi za kulifanikisha hilo kuliko kulianzia twitter.Nimejaribu kuitafuta interview ya Mo alipofanya na Wasafi na kuna kipengele anachosema atawekezaje 20bn kwenye club ambayo rasilimali zake hazizidi 4bn?Hapo watu wenye utaalamu wa biashara watusaidie na pia wanasheria wapitie mkataba uliompa club.Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake
Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.
Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.
Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda
View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Labda Manara kamjibia kwa kutumia akaunti ya MoKaonyesha utoto kabisa kwa hili
Weka salary slip yake mpumbavu wewe. We unasikia tu maneno ya mtaani. Pesa zao zinapitia benki na kwa taarifa yako WANAKATWA P.A.Y.E au unadhani ni siri? Na hivi kila mwajiriwa lazima awe na TIN ndio utaumbuka mchana kweupe bwege wewe.
kweli simba ni mbumbumbu aliwahi kusikika RAGEChuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi