Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Huyo Kigwanini sijui kigwanomics ndio alisema watu wajiajiri watoke nje ya box? Watu walipoomba aoneshe mfano akarudi hatua 10 nyuma na kubadili mada! Huwa siamini hawa watu wanaohuburi story ambazo wao hawaziishi kiuhalisia!
Jamaa anaongozaa...!! Yani yule hakuna Nje ya box wala nini... Maisha yake anajua siasaa na ndio maana kila mahali analeta siasaa.
 
Jamaa anaongozaa...!! Yani yule hakuna Nje ya box wala nini... Maisha yake anajua siasaa na ndio maana kila mahali analeta siasaa.
Siku akitoka nje ya box akaenda Kupractice alichokisomea walau na kuja na matokeo chanya ndio nitamuamini ila kwa story zake ni ngojera tu siasa ndio mwanya wa kucheza dili zake za kificho kujipatia pesa
 
Hahaha,hivi banks hazitoi mikopo tena?,if not kwanini asiende kopa huko?

hatari sana hawa jamaa
Hahah afu jamaa alikosa hela ya kununua pikipiki 25 tu wkt huo tayari ameshapewa mafao yake ya ubunge ya zaidi ya Tsh.200mil.

Jamaa omba omba kinyama mkuu.
 
Bashite kafanyaa sanaa hayaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Saa hizi naona kaacha kwenda hata kwenye Mikutano ya kampenii kama mbwai na iwe mbwaiii..
Yes Michezo ya BASHITE hiyo ndio maana mO kamtolea nje maana asingemlipa.
 
Ila twitter kiboko..kule kuna spana kishezi,kwa sasa Samia Suluhu anapigwa spana huko za hali ya juu yaani mama atakua hana hamu uko halipo.
 
Mama fwalaa sana naee yulee... yani fisiemu ukoo wa panyaa nilidhani samia na Majaliwa wanajielewa kumbe nao mumbwaaa tu...
Ila twitter kiboko..kule kuna spana kishezi,kwa sasa Samia Suluhu anapigwa spana huko za hali ya juu yaani mama atakua hana hamu uko halipo.
 
Juzi Kati Kwenye akaunti ya twitter Kigwangala alionekana akiwanadi ng'ombe wake

Kabla ya hapo alionekana jimboni kwake akigawa pikipiki kitu ambacho hajawahi kufanya kwa miaka ya nyuma kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Leo kabwatuka kuhusu uteuzi uliofanywa na klabu ya Simba akidai taratibu hazijafuatwa.

Baadaye Mo Dewji anahoji kwanini asimpigie simu? Mwisho anamshauri asichukulie hasira kunyimwa mkopo wa bodaboda


View attachment 1559971
========
View attachment 1559972
Nimefuatilia suala hili kuanzia huko Twitani na hata kwenye vijiwe vya kahawa na ni wazi kuna jambo ambalo halipo sawa kati ya Mo na Kigwa.Kidogo mwanga unaanza kuonekana lakini tuanze kwa kumuangalia Mo.Mo hakuingia Simba kwa mtutu wa bunduki lakini through taratibu za kisheria na mchakato wa muda mrefu.Hili linanipa nguvu ya kuwa maswali ya Kigwa yana evil motive behind kwani kama mtu msomi,waziri na mwanasimba alikuwa na njia nyingi za kulifanikisha hilo kuliko kulianzia twitter.Nimejaribu kuitafuta interview ya Mo alipofanya na Wasafi na kuna kipengele anachosema atawekezaje 20bn kwenye club ambayo rasilimali zake hazizidi 4bn?Hapo watu wenye utaalamu wa biashara watusaidie na pia wanasheria wapitie mkataba uliompa club.
Kigwa alikuwa na nia ya kuanzisha taharuki katika club kwani ni waziri na naamini hata akimuita Mo ofisini kwake angekuja tu.
Jambo hili limenikumbusha Marehemu Reginald Mengi na wafanyabiashara wa kihindi ambapo Mengi aliitisha mkutano na kudai anatishiwa maisha.Kikwete alilizungumza na kwa lugha ya kidiplomasia alimlaumu Mengi na kuuliza kuwa mbona Mengi hakumpigia hata simu wakati ana namba yake?The same kwa Kigwa "kwa nini hukumpigia simu wakati namba yake unayo?".Kigwangwala ana nia aidha ya kubadili mazungumzo (spinning)watu waache kujadili uchaguzi au ana chuki binafsi na Mo.
 
achanene kujadili huyo mbunge wa viti maluumu kigwangala
 
Kigwandowski for ballon d 'or
Moooo anatakiwa kujibu zile hoja na sio kukimbia kimbia.
 
Viongozi wote wa ccm ndio kazi kulazimisha wakopeshwe kwa kutumia nyadhifa zao halafu huwa hawalipi.
 
Mo kamfuata hamis inbox na kumwambia anajitoa simba! Jamaa ukimtikisa kidogo anatishia kujiuzuru
 
Write your reply...Swali la kizushi je! bw HK kama angepewa huu mkopo wa tukutuku angeleta hii hoja yake?
 
1599385959964.png
 
Wewe mwenye akili tuambie anapokea ngap kwa mwezi na uzidishe Mara 12 utuambie kwa mwaka ni ngap?na ujifunze kuchangia kwa staha
Weka salary slip yake mpumbavu wewe. We unasikia tu maneno ya mtaani. Pesa zao zinapitia benki na kwa taarifa yako WANAKATWA P.A.Y.E au unadhani ni siri? Na hivi kila mwajiriwa lazima awe na TIN ndio utaumbuka mchana kweupe bwege wewe.
 
Chuki ya kunyimwa mkopo inaweza tumika kufitinisha, bado mo naona yupo sawa kuwa watu wajue nyuma ya pazia, unajua simba kuna watu wameitoa mbali, asije mjinga mmoja akaharibu kigwangala ni mtu wa ajabu sana anapenda ligi
kweli simba ni mbumbumbu aliwahi kusikika RAGE
 
Back
Top Bottom