Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Hamisa anatabia za kidada sana,toka amekua waziri anajiona yeye zaidi ya binadamu wenzake.kumbe ni mrembo tu
 
HASIRA za kigwangwala siyo upendo kwa simba ni hizo pikipiki....mtu hajaanza kazi keshaanza kulalamika mbona yeye kasomea afya yuko utaliii,hata mwanamama wa chelsea hakuwa na uzoefu wa sports lakini leo kawazidi hata kina ed woodward
Labda ni muono wa kistereotype wa mfumo dume
 
kumbe Mshenz kigwangala analeta ukhanithi kwenye biashara za watu kwa mgongo wa uccm wake.
 
Labda ni muono wa kistereotype wa mfumo dume
kabisa lengo la simba ni kujiendesha kifaida huyu dada ataliweza hilo masuala ya ufundi wako wengine watamsaidia yeye ni kuhakikisha mambo ya kifedha na stahiki zikae sawa,huyo mwingine hasira za kunyimwa mkopo wa mo boxer kuhonga wajumbe
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Thanx!
 
Tofautisha mkopo na msaada!
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Mo anaujulisha umma kuwa mawe anayoyarusha kigwangala ni kutokana na kutokupewa mkopo. Hivyo hakulitumia suala hilo kama fimbo kumuadhibu bali kujitetea kwa umma. Pia wana simba hawana shida na mo juu ya uwekezaji wake ila tatizo ni hawa watu waliokuwa na masirahi binafsi ndo wanaweweseka.
 
Wewe kuna kitu uliwahi kupinga.
Wewe unafahamika Mzee wa kuunga Juhudi mkono ata kama Juhudi hizo hazina maslahi kwa Umma.
Dr Kigwangalla anauliza kama MO ameshalipa zile bilioni 20......MO anajitetea Kigwangalla ana hasira za pikipik!

MO asikimbie swali lililoulizwa na mwanachama wa Simba SC Dr Kigwangalla!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…