Mo Dewji amuomba msamaha Kigwangalla kwa kumnyima mkopo baada ya kuhojiwa uenyekiti wake Simba bila kukamilisha uwekezaji

Kwa kuwa alinyimwa Mkopo wa Pikipiki sasa ameona ahoji Bil 20 iko wapi,hiyo ishatolewa maelezo aache gubu.
Wewe unadhani Dr Kigwangalla ndio kukopa kaanza leo?

MO aliamini anamnyamazisha Dr Kigwangalla kwa kuingiza mambo ya pikipiki kumbe ndio amekoleza mjadala!
 
Wewe unadhani Dr Kigwangalla ndio kukopa kaanza leo?

MO aliamini anamnyamazisha Dr Kigwangalla kwa kuingiza mambo ya pikipiki kumbe ndio amekoleza mjadala!
Wanasimba wote tayari wanajua hasira za Kigwa zinatokana na nini, kwahio watampuuza.
 
Sio mshamba ,kaonyesha hasira za Kigwangala zinatokana na nini?. Mimi nawewe tujiulize kama angepewa huo mkopo angebwatuka aliyobwatuka huko twitter?.
Wana CCM wamemaindi sana baada ya kuona waziri wao anadhalilishwa/kumbe ni omba omba wa pikipiki.

Wanajisahaulisha Mo ni mwana CCM mwenzao.
 
Mkopo sio aibu..
Mkopo ni mkopo
Hata yeye Mo ana mikopo mingi benki mbalimbali..

Mo ndo anapaswa kuona aibu Kwa kuingiza mambo ya mikopo ..ambalo ni suala binafsi
Kwenye hoja ya club ambayo ina mashabiki
Na mali ya watu wengi
Uko sahihi, Mo Tambuu anazotafuna zinampeleka kubaya. Haiwezekani atuteulie hawala yake katika timu.
 
Kwani kukopa ni shida au kunyimwa yeye mwenyewe MO ana mikopo kibao kwenye mabank ya ndani na nje..cha msingi MO ajibu hoja ya HK juu ya 20B za uwekezaji wake wa hisa za simba.
 
Hii inaitwa kumvua nguo na kumwacha uchi.

Kuna siku walifurahia madeni ya Lema.
 
Wana CCM wamemaindi sana baada ya kuona waziri wao anadhalilishwa/kumbe ni omba omba wa pikipiki.

Wanajisahaulisha Mo ni mwana CCM mwenzao.
Halafu anajifanyaga eti anawaza nje ya box,nakusistiza vijana wajiajili siangeuza zile costa zake zimechoka zinazotoka kahama kwenda urambo ili anunue pikipiki.
 
Hakuna Kitu 'kibaya' duniani kama Wewe 'Kujulikana' na wengi kuwa ni Mpumbavu na Mchawi 'Mwandamizi' kisha Kuumbuliwa na 'Tajiri' kama hivi.
 
Kwani kukopa ni shida au kunyimwa yeye mwenyewe MO ana mikopo kibao kwenye mabank ya ndani na nje..cha msingi MO ajibu hoja ya HK juu ya 20B za uwekezaji wake wa hisa za simba.
Kama sio shida unakumbuka Ndugai alichofanya bungeni kutaja madeni na mikopo ya Mh Lema bungeni?? Wanaccm wakaanza kucheka .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…