MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

ANAMILIKI VIWANDA KIBAO MFANO
TWENTY FIRST CENTURY CHENYE WAFANYAKAZI ZAIDI YA 3000
 
ANAMILIKI VIWANDA KIBAO MFANO
TWENTY FIRST CENTURY CHENYE WAFANYAKAZI ZAIDI YA 3000
Anawalipa bei gani?
Je uwekezaji wake ninsawa na azam marine ama caspian?
Mo mpaka leo hana kampuni inayoendeshwa ki cooperate

Kuna kiwanda cha A TO Z arusha ameajiri watu 5000
 
Moo alipewa tenda ya kutengeneza sare za jeshi Zima tz
 
Mo ni Simba Bakhresa ni Azam na Rostam ni yanga na unajua kabisa thamani ya kila goli moja ni Dollar 2.5b
 
Anawalipa bei gani?
Je uwekezaji wake ninsawa na azam marine ama caspian?
Mo mpaka leo hana kampuni inayoendeshwa ki cooperate

Kuna kiwanda cha A TO Z arusha ameajiri watu 5000
Duuuh!
 
Kusema tu Mo ana kiwanda Cha juice tu peke yake , inadhihirisha uko na chuki binafs✍️
 
Back
Top Bottom