MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

MO Dewji anawazidi vipi utajiri Bakhresa na Rostam Aziz?

Kwa kukusaidia tu MO dewji anamiliki uchumi wa taifa zima la TANZANIA kwa 4% na asilimia 96 tunagawana watu wote 62M. more anafanyabuashara katika mataifa 36 africa nzima. Azam n mataifa 12 tu.

MO anabiashara nying sana hazihesabiki
 
Yaani Mo yupo kila mahala kumzidi Bakhersa?! Huko ambako kila mahali Mo yupo na Bakhresa hayupo ni wapi?! Kwenye kutengeneza vitenge na sabuni?!

Asilimia kubwa ya biashara za Mo ni zile ambazo Bakhera alishakuwa nazo tangu zamani kabla yake kwa sababu, originally METL ilijikita kwenye agricultural commodity trading.

Baada ya Mkapa kuanza kuuza mashirika ya umma, Mo Family ndo ikaingia na upande mwingine wa biashara ambao Bakhera tayari alishakuwepo kitambo!!
Biashara pekee aliyonayo Bakhressa, hana ni Marine transport pekee. Biashara za Mo ambazo wengine hawana mafuta (Star Oil Ltd), Bima (Mo Assurance), Fedha na Mitaji (Mo Capital Finance Ltd, Sifa Advisory Ltd), Simu (Zefona), electronics (Mo electronics), Boxer, Korosho etc. Huyu jamaa yuko kwenye maisha ya watu wa kipato cha kati na cha chini.

Ukiwa juu juu huwezi kumuona
 
Nimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewa
Acha kuhamisha magori kwaiyo bhakaresa hana assets au ? Chamanzi complex ni utajiri wote wa dalali Mo
 
Hoja yako ilihusisha hizo concept au ulitaja kampuni na biashara?!

Anyway, kwavile umeshindwa kutaja hizo kampuni ingawaje ni wewe mwenyewe ndie ulileta habari za kampuni, tuwekee basi hiyo consolidated balance sheet tuone hayo unayosema!!
Akileta niite Ashura cheupe
 
Huwezi kumfananisha Mo na Bakhressa. Mo yuko kila mahala. Tofauti yao ni kuwa makampuni ya Bakhressa yanatumia majina yanayohusiana wakati ya Mo mengine majina hayafahamiki.
Yupo wapi uyo Mo na kwanini atumie majina tofauti?
 
Issue ilikuwa ni ndogo kuingia kwenye hiyo official website. Halafu hii orodha inatolewa na forbes mkuu. Nenda ukatembelee website yao forbes uwakosoe nenda na hiyo orodha ya biashara anazofanya mzee Said Salim Bakhresa uwakosoe kwa kulinganisha na za Mo
Forbes walishakosolewa Na mengi walikosea Mwaka wake wa kuzaliwa tu itakuwa utajiri wake

Forbes si matapeli tu
 
Kwa kukusaidia tu MO dewji anamiliki uchumi wa taifa zima la TANZANIA kwa 4% na asilimia 96 tunagawana watu wote 62M. more anafanyabuashara katika mataifa 36 africa nzima. Azam n mataifa 12 tu.

MO anabiashara nying sana hazihesabiki
Acha kupamba mavi maua labdq anauza ngada kupitia kocha wa makeeper
 
Hili la kuwajadili matajiri ikiwa sisi hatuna kitu, nalo mkalitizame
Asante sana kwa ushauri huu. Wakati tunawajadili wao wapo wanajadili mbinu za kuingiza pesa zaidi. Na ndio pale wao wanapata pesa sisi tunabaki kupata stori tu.
 
Biashara pekee aliyonayo Bakhressa, hana ni Marine transport pekee. Biashara za Mo ambazo wengine hawana mafuta (Star Oil Ltd), Bima (Mo Assurance), Fedha na Mitaji (Mo Capital Finance Ltd, Sifa Advisory Ltd), Simu (Zefona), electronics (Mo electronics), Boxer, Korosho etc. Huyu jamaa yuko kwenye maisha ya watu wa kipato cha kati na cha chini.

Ukiwa juu juu huwezi kumuona
Akili huna mzee

Team ya mpira anayo uyo Mo?

Media anayo?

Kampuni la kuteneza Masofa ya magari analo

Azam pesa?

Acha ujinga
 
Kampuni zakw kama ya mafuta ya kura sijui kushona nguo ja vitenge waweza pnga na kampuni za bakhressa kweli ama usanii
Kwani Rostam ana kampuni ngapi unazozijuwa wewe ukiacha Taifa gas!? Ukiacha kumikili viwanda Hawa watu ni shareholder wa Makampuni makubwa Duniani. Mfano Rostam ana asilimia 17 kampuni ya Vodacom SA
 
Kwani Rostam ana kampuni ngapi unazozijuwa wewe ukiacha Taifa gas!? Ukiacha kumikili viwanda Hawa watu ni shareholder wa Makampuni makubwa Duniani. Mfano Rostam ana asilimia 17 kampuni ya Vodacom SA
Tigo/zantel
Capspian
Coastal aviation
Milambo holding
 
Back
Top Bottom