Unakata ukweli?!
Ni Forbes ndio huwa wanatuambia kwamba Mo ndie Richest Person in Tanzania.
Kama umewahi kufuatilia orodha zinazotolewa na Forbes, huko nyuma imeshawahi kutokea watu kufoji financial statement ili mradi watokee tu kwenye list ya Forbes!
Tukio la miaka ya karibuni kabisa lilimshusisha Kylie Jenner ambae walimtangaza kwamba ni Billionaire lakini baadae wakagundua kwamba:-
View attachment 2422436
Forbes hatimae wakatujuza kwamba:-
Bado nalikumbuka povu la Kylie kule twitter!!
Sasa Mo na mwenyewe alivyo mtu wa kupenda hype...
Itoshe tu kusema Mo ndo Billionea pekee Tanzania anayependa kurudia kusema again and again kuhusu utajiri wake, na mara nyingi anapenda kutumia reference kutoka Forbes!!