Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo Ana viwanda vingi na anatengenza bidhaa nyingi kuliko matajiri wote TanzaniaHuyu jamaa utajiri wake wa magumashi na kiwanda cha juice eti ndiyo tajiri namba moja. Ukija kwa Bakhressa ana meli, ngano, soda, kiwanda cha sukari chenye thamani ya bilioni 600, Azam TV na Azam Pesa.
Rostam Aziz anayemiliki kampuni ya ndege, caspian, Tigo Tanzania, Taifa gas, inakuwaje tunaambiwa huyu mbabaishaji eti ndiyo tajiri wa Tanzania? Ama anafanya ubabaifu aonekane hivo?
Basi kama Mo anapesa Atafute team aweke pesa ata ihefu tuone kama itasimama kama AZAM fcTatizo hutumii akili, sasa utaonaje?
Acheni kupamba mavi mauaHahahaa MO gari zake hazinaga machata ya MO kama Azam ni chache zenye machata ya kampuni yake.
Ila wakongwe hapa town tukiona SHIFENG tu ya rangi ya kijivu au FAW za blue tunajua MO huyoo anapita
Aanzeshe nae team asidandie SIMBAKitu ambacho Bakhresa kamzidi MO ni ubora wa bidhaa (quality) kwa hapo Azam hana mpinzani. Tukilinganisha ubora wa bidhaa ambazo wote wanatengeneza mfano unga wa ngano wa Azam na Safi/Mo, unga wa Azam ni bora zaidi ya Safi/Mo
Ila kwa upande wa mkwanja Mo kamzidi Bakhresa hatuhitaji hata mjadala kwenye hilo
AANZISHE NAE TV unavyo vitaja vyote bhakharesa anavyoPunguza chuki mkuu AF pia penda kufatilia Mambo kwa Kina sio Juu kwa juu Mo alinunua viwanda vingi vya Textiles za kutengeneza vitenge na Kanga , wax kutoka serikalini Kipindi cha Ubinafsishaji na Vingi alivinunua kwa Bei chee na vingine alivipata Bure maana aliingia kama mwekezaji hadi akaja kuvipata moja kwa moja , yale mashamba ya mkonge ya serikali kule pwani na Tanga na Pale Makanya jamaa aliyapata kwa bei sawa na Bure , mo ana Kampuni ya Bima Mo assurance kumbuka taasisi za Bima ni taasisi zenye return kubwa sana kwenye investment zake na Pia mo kwa sasa wewe Unamjua tu kupitia mo energy Lakini ambacho hujui ni kuwa ana Vituo vya mafuta Star oil vingi tu, anatengeneza kila Kiti kuanzia sabuni , majani ya Chai , viberiti , mafuta ya safi hadi betri za redio zinaitwa Golden bell
AZAM FC tu ni pigo takatifu kwa MOWewe wakati unaangalia azam energy ndio zimuweke gsm au bakhresa wawe no moja kumbe wenzio Forbes wanajua utajiri wa mo ni zaidi hizo juice na chapati mo amewekeza hadi uarabuni na bado hujaambiwa kuhusu hisa nse
Uongo mtupuMo kawekeza mabiashara yenye kuleta pesa nyingi kuliko SSB. Azam anasubiri sana kwa METL
Siyo lazima kila tajiri afanye anachofanya tajiri mwenzake. Unaweza uka base kwenye industries kadhaa ukatoboa. Mwenzako aka base kwenye nyinginezo naye akatoboa.AZAM FC tu ni pigo takatifu kwa MO
Kama anapesa aanzishe team nae tuone
Sio anaanzisha ujinga wa Mo boxing
Then anamlipa bhakharesa pesa ya coverage
Kuwekeza ni mipango si jambo la kukurupukaAanzeshe nae team asidandie SIMBA
Acha chuki, wivu na husda kijanaAcheni kupamba mavi maua
Unaongea ujinga mkuuSiyo lazima kila tajiri afanye anachofanya tajiri mwenzake. Unaweza uka base kwenye industries kadhaa ukatoboa. Mwenzako aka base kwenye nyinginezo naye akatoboa.
Kwa vile Mo hana Tv station basi hiyo ni udhaifu kwake..au kwa vile hana club ya mpira basi hana pesa. Thinking ya ajabu sana hii.
So ili Mo athibitishe kuwa na hela si lazima aanzishe timu na ifanikiwe. Kina GSM na MEtl wanazitumia simba na Yanga kama marketing platforms.
Mfano, uwekezaji wa Mo tu hapo Simba si umewaletea mafanikio, Club haijaenda mbali huko CAF? Kumbuka kuanzisha club ya mpira ni sawa na biashara nyinginezo tu.
Ninachokiona kwako ni kuwa umejiandaa vilivyo kumpinga Mo...So hata ukishawishiwa vipi hauwezi kukubali kuwa jamaa ana ukwasi wa kutosha kuliko hao anaolinganishwa nao.
Hana hela banaKuwekeza ni mipango si jambo la kukurupuka
Tajiri namba 1 Afrika Mashariki na kati na tajiri kijana Afrika na tajiri wa 15 Afrika unasema hana hela 🤣🤣🤣Hana hela bana
Si unamaanisha kama hivi hapa chini, ama?Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa
Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Vya Bakhresa hivi hapa chini, naomba msaada kuhusu vya Mo...Mo Ana viwanda vingi na anatengenza bidhaa nyingi kuliko matajiri wote Tanzania
Nimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewaVya Bakhresa hivi hapa chini, naomba msaada kuhusu vya Mo...
View attachment 2422368
Kama unamaanisha ndie mtengeneza sabuni nyingi zaidi Tanzania, basi sawa!!
Acha porojo wewe na hivyo vi-concept vyako vya shule...Nimeona kuna shida kwako unapaswa kwanza ujifunze na uzielewe concept kuhusu net worth, assets na liabilities ungekuwa na uelewa na hizo concept hata usingepata shida kuelewa
Taja hizo "kampuni nyingi sana" na hizo "biashara mbalimbali!!Mo ana kampuni nyingi sana na biashara mbalimbali sema wabongo wengi hatufuatili tunachojua sisi ni Mo energy tu, huyu jamaa kuwa namba 1 Afrika Mashariki ni sawa
Mnaobisha nendeni mkaingie official website ya METL ndo mtajua hamjui
Ingia official website ya MeTL mkuuAcha porojo wewe na hivyo vi-concept vyako vya shule...
Hoja yako ni hii hapa chini 👇👇👇
Taja hizo "kampuni nyingi sana" na hizo "biashara mbalimbali!!