Mo Dewji atema tena cheche, atawataja wanao mkwamisha ndani ya Simba

Unataka ubaki mchawi peje yako?
Muwe wengi msaidiane mkuu😂😂
 
Mo bila simba inawezekana ila Simba bila Mo inawezekana (bob junior lion)..

kwa mpira wa Tanzania ulipofikia sasahivi Simba wana muhitaji zaidi Mo kuliko Mo anavyoihitaji simba...

ndio.mpira wa sasa unahitaji muwekezaji mwenye pesa nyingj kama Mo ili kuendelea kuhimili ushindani uliopo katika ligi za ndani ya nchi na nje ya nchi,,hasa ukizingatia ilipofikia rank ya club na jinsi ambavyo wapinzani wake wanazidi kujiimarisha

hao waswahili wa kariakoo wanao mkwamisha muwekezaji ni kwaajili ya masilahi ya binafsi,japo hata Mo anawekeza kwa masilahi yake binafsi lakini yanafaida kwenye club kuliko hao waswahili wa kariakoo ambao masilahi yao ni kwaajili ya wao na familia zao

 nyie endeleeni kukanyagana huku sisi wanajangwa tukiwaangalia huku tukiweweseka kiwendawazimu
 
Hakika mkuu.....
 
Hii mwamed kaigundua
Siyo kwamba kaijua leo,kupambana na wenye 10% hapa kwetu ni ngumu sana. Kila idara wapo.

Tiefuefu,serilikalini na sasa inaelekea ndoani.

Hapo Mwamedi atapigwa za uso tu.
Na ukizingatia 89% ya Wa TZ cc ni bendera fuata upepo,utakuja kuona.

Tanzania ina wapenzi wa soccer wengi sana,shida ni waliopewa dhamana.

Maximo aliimba weeeeeee walio wengi hawakuelewa,wakamdhihaki,wakampiga majungu na vilago wakamtupia.

Je kuna hatua tumeshapiga?

Je turudi kwenye misingi ya kupata mafanikio ktk soccer au tuendelee kusubiri miujiza ya kupanda ndege kwa kutumia kitabu kiitwacho biblia?
 
Back
Top Bottom