Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Wenye dhamana wanalenga 10%Lazima tuthamini vya kwetu mkuu
Wewe endelea kutaabika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye dhamana wanalenga 10%Lazima tuthamini vya kwetu mkuu
Ni kwavile kuna pesa yake pale na ana mapenzi ya kweli na klabuMkuu hii sio mara ya kwanza
Tajiri anaheshimu hata jero ya juisiLkn mbna tunaambiwa anapesa nyingi ....how come atamani hizi ndogo
Inauma kama anaweka pesa halafu watu hawathaminiMudy ana maneno siku hizi kama mzaramo!
Hiki ndicho tusichokifahamu cc wenye kipato kisicho kidhi mahitaji,hatuna nidhamu ya fedha.Tajiri anaheshimu hata jero ya juisi
100%Hiki ndicho tusichokifahamu cc wenye kipato kisicho kidhi mahitaji,hatuna nidhamu ya fedha.
What goes around comes around.Ya SIMBA yafaa kujadiliwa na wana SIMBA wenyewe.. Wengine nje ya hapo ni wachawi tuuu
Huo ni msimamo wako wewe hatuwezi kufananaHivi mnaoshabikia mpira wa hapa kwetu huwa mna roho za namna gani?
Mimi ni mpenzi wa mchezo wa mpira wa miguu,ninaangalia ikiwa unachezwa na rika lolote,timu yoyote,lkn kuweka ushabiki na mapenzi kwenye timu zetu hapa kwetu,hiyo ni ngumu.
Ni kweli 100%Huo ni msimamo wako wewe hatuwezi kufanana
Hata hivyo ni mzaramo unadhani hakuna mzara mhindi...Mudy ana maneno siku hizi kama mzaramo!
Mimi huwa sijadili watu in personal naijadili timuWhat goes around comes around.
Siku zote muosha naye huoshwa.
SiJasema hivyo popoteAhaaa so Ina maana hauamini uongozi
Hakika mkuu.....Mo bila simba inawezekana ila Simba bila Mo inawezekana (bob junior lion)..
kwa mpira wa Tanzania ulipofikia sasahivi Simba wana muhitaji zaidi Mo kuliko Mo anavyoihitaji simba...
ndio.mpira wa sasa unahitaji muwekezaji mwenye pesa nyingj kama Mo ili kuendelea kuhimili ushindani uliopo katika ligi za ndani ya nchi na nje ya nchi,,hasa ukizingatia ilipofikia rank ya club na jinsi ambavyo wapinzani wake wanazidi kujiimarisha
hao waswahili wa kariakoo wanao mkwamisha muwekezaji ni kwaajili ya masilahi ya binafsi,japo hata Mo anawekeza kwa masilahi yake binafsi lakini yanafaida kwenye club kuliko hao waswahili wa kariakoo ambao masilahi yao ni kwaajili ya wao na familia zao
nyie endeleeni kukanyagana huku sisi wanajangwa tukiwaangalia huku tukiweweseka kiwendawazimu
Siyo kwamba kaijua leo,kupambana na wenye 10% hapa kwetu ni ngumu sana. Kila idara wapo.Hii mwamed kaigundua