Mo Dewji atema tena cheche, atawataja wanao mkwamisha ndani ya Simba

Me nafikiri awataje tu ndio itakuwa njia sahihi yakudeal na hao wakwamishaji wa maendeleo ya simba
 
Mo bhana watu "ndani ya Simba"watakuwa kina nani Sasa au Asha baraka maana chaguzi zinakuja chaguzi zinapita hao watu bado wapo si muwaondoe ili hayo mabadiliko yafanyike au ni hofu kuwa mabadiliko yanaweza kupunguza influence yake!?
 
Hakika mkuu.....Kwa hii fukuza / sajili
 
Mo kaamua kuliangusha jumba bovu! Simba imebaki jina tu timu mbovu duniani kwasasa, sikio la kufa!

Wenzake Mo kina Barbara wamekubali yaishe ila kanjibai sababu anavuna Pesa za Simba kaamua kukomaa! Chezea hela tamu za wajinga! Makolo Kazi yote Kazi yao kubwa ni kupiga makelele tu mwenzao Mo anaitafuna Simba tu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…