Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ulijadili jezi zetu nzito tuka vumilia tulia hivyo hivyoYa SIMBA yafaa kujadiliwa na wana SIMBA wenyewe.. Wengine nje ya hapo ni wachawi tuuu
Ya SIMBA yafaa kujadiliwa na wana SIMBA wenyewe.. Wengine nje ya hapo ni wachawi tuuu
Sh 50 ya majani ya Chai Tajiri anaiheshimu, Sisi wakina Siye hata 10k huwa tunaifanyia masikhara tuTajiri anaheshimu hata jero ya juisi
Kama wewe unavyoyajadili ya CCM CCM wakati wewe ni chademaYa SIMBA yafaa kujadiliwa na wana SIMBA wenyewe.. Wengine nje ya hapo ni wachawi tuuu
anaongea ukweli mtupuMudy ana maneno siku hizi kama mzaramo!
Hakika mkuu.....Kwa hii fukuza / sajiliSiyo kwamba kaijua leo,kupambana na wenye 10% hapa kwetu ni ngumu sana. Kila idara wapo.
Tiefuefu,serilikalini na sasa inaelekea ndoani.
Hapo Mwamedi atapigwa za uso tu.
Na ukizingatia 89% ya Wa TZ cc ni bendera fuata upepo,utakuja kuona.
Tanzania ina wapenzi wa soccer wengi sana,shida ni waliopewa dhamana.
Maximo aliimba weeeeeee walio wengi hawakuelewa,wakamdhihaki,wakampiga majungu na vilago wakamtupia.
Je kuna hatua tumeshapiga?
Je turudi kwenye misingi ya kupata mafanikio ktk soccer au tuendelee kusubiri miujiza ya kupanda ndege kwa kutumia kitabu kiitwacho biblia?
Nakushukuru ila mwambie na OKW BOBAN SUNZU , hili nishamweleza siku ile Yanga inacheza akawa kichwa maji!Ya SIMBA yafaa kujadiliwa na wana SIMBA wenyewe.. Wengine nje ya hapo ni wachawi tuuu