Aiseee chalii yangu rudisha avatar Picha ya malema kwenye profile yako ile aliyovaa kofia ya EFFMfanyabiashara Maarufu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji MO, ameitembelea Klabu ya FC Porto ya Portugal kuangalia namna ya kushirikiana na Simba SC kujua fursa mbalimbali.
"Jana nilipata nafasi nzuri ya kujifunza nilipotembelea FC Porto ambapo niliweza kujua fursa za ushirikiano kwa kukuzia vipaji cha Simba SC huko mbeleni.
Tuna mengi ya kujifunza na kupata kutokana na uzoefu wa FC Porto. Natarajia kuimarisha mazungumzo yetu hivi karibuni".
Ameandika MO kwenye ukurasa wake wa Twitter.View attachment 1085228View attachment 1085229
Wewe ulishatembelea timu ipi na ipi hata hapa bongo ili tukuone ww si kanjanja??Alishatembelea hadi juventus ,sijui iliishia wapi
Mo ni kanjanja tu, kama manji, kamwe ataondoka simba hata alivyosema atafanya , 50% hajatimiza
MO ameshajua anafanya kazi na Mbumbumbu kwaiyo anazidi kuwachota akili na Mi Mbumbumbu isivyo jitambua inakenua na kucheka.FC Porto watafanya mipango gani na Simba? Simba awana uwanja wa mazoezi, awana timu za vijana, yeye MO kawekeza Billion 20 kwa miaka 5 ivi mnawaona Porto timu ya Mchangani.Vyura watapinga na hili?
Hao watu wako wakitembelea wanasema wameanda kufanya mipango ipi...?Mbona wakina Shafii wanatembelea mpaka wembley,bernabeu ,nk .Mimi sioni cha ajabu hapo hiyo kama ziara tu