Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,267
- Thread starter
- #21
Kwahivyo unataka FC Porto wafanye mipango na Real Madrid?MO ameshajua anafanya kazi na Mbumbumbu kwaiyo anazidi kuwachota akili na Mi Mbumbumbu isivyo jitambua inakenua na kucheka.FC Porto watafanya mipango gani na Simba? Simba awana uwanja wa mazoezi, awana timu za vijana, yeye MO kawekeza Billion 20 kwa miaka 5 ivi mnawaona Porto timu ya Mchangani.
Yaani wafanye Mipango ya maendeleo ya Soka na mwekezaji ambae uwekezaji wake haufikii ata pesa ya ukarabati wa viti katika uwanja wao.
Timu haina ata kituo cha kulea vijana!! Porto wakisema waifuatilie Simba wataikuta ina wachezaji wenye wastani wa miaka 32 kitu ambacho kwa soka la ulaya aina iyo ya wachezaji wengi wanafikiria kustaafu.
Kwa ujumla MO alikwenda kufanya utalii na kupiga picha, kama mtanzania yoyote anaweza kwenda na kufanya ivyo kwakua wenzetu vilabu vyao ni sehemu ya utalii hasa club kubwakubwa zenye historia ndefu. Kwa ujumla Mbumbumbu mnazidi kuonyesha kwanamna gani mna akili za kushikiwa.
Hivi Vyura akili zenu zikoje? Unaandika pumba ndefu isiyokuwa na maana, mbona Makocha kutoka Uingereza wamekuja kutoa mafunzo Tanzania, kwanini hawakwenda China wenye uchumi mkubwa.
Wivu wa kishamba na mtalamba lolo safari hii..[emoji3][emoji23][emoji3][emoji23]