OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Taarifa ya Rais wa Heshima wa Simba Mwekezaji Mo Dewji
Nimeteua wajumbe wanne wapya kwenye Bodi ya Simba Sports Club. Karibu Dk. Raphael Chegeni, Mhe Rashid Shangazi, Bwana Hamza Johari na Bwana Zulfikar Chandoo. Wanachama hawa wataleta uzoefu mkubwa ambao utasaidia katika kutimiza lengo la klabu, na kuwa klabu ya soka inayoongoza barani Afrika!
In English
I have appointed four New Board members to Simba Sports Club. Welcome to Dr. Raphael Chegeni, Hon Rashid Shangazi, Mr Hamza Johari and Mr Zulfikar Chandoo. These Members will bring great experience that will assist in realizing the Clubs' goal to become the leading football club in Africa
My Take
Tunategemea mje na mikakati yenye uhalisia wa kuifanya Simba Sc kuwa club kubwa barani Africa.