Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Mo Dewji athibitisha kuwa aliinunua Simba miaka mitano iliyopita na ndio kitu kikubwa anachojivunia

Amesema hayo alipoulizwa kuwa ni kitu gani chenye gharama sana amewahi kukinunua, ambapo alijibu kitu kikubwa yeye kuinunua ni Club ya Michezo ya Simba.

Dah imeniuma sana hii kitu, mimi nikajua ni mwekezaji tu kumbe alikuwa mmiliki wa Club! Sasa michango yetu ya kila mwaka tunayotoa inaenda wapi?

Angalia video hapa chini.

Tulia dawa iwaingie
 
Attachments

  • FB_IMG_17092165031967430.jpg
    FB_IMG_17092165031967430.jpg
    304.3 KB · Views: 2
Angekuwa kanunua asingekuwa analalamika Kila siku twitter kuwa wanakwamisha mchakato wa mageuzi
 
Angekuwa kanunua asingekuwa analalamika Kila siku twitter kuwa wanakwamisha mchakato wa mageuzi
 
Kama kainunua timu ile michango ya kujenga uwanja tulichanga kwa utaratibu upi?
 
Back
Top Bottom