Mo Dewji awataka Simba kuleta kombe la ligi ya Mabingwa Afrika

Mapinduzi cup tu limewashinda wanawaza cafcl hiiii baghosha[emoji848][emoji848][emoji848] anyway Aden Rage ajengewe sanamu
 
Huyo ponjoro simshangai kwa sababu watu wa kwenye hiyo ile kitu ya Msimbazi inawasumbua sana. Nakumbuka hata Kibu Denga alishawahi kuahidi atahakikisha Tanzania inashiriki WC
 
Hapo mbona kama [emoji1787]bunju
 
Kombe linabebwaje bila kitita cha 20B kuwekwa kwenye akaunti?
 
Mo ni Muhuni sana.

Yani Simba imeshindwa KUNUNUA Foward Hadi Leo.

Manzoki tu aliwashinda tangu Mwaka JUZI,

Unategemea uchukue UBINGWA na akina Kyombo na Dejan.
 
Mo ni Muhuni sana.

Yani Simba imeshindwa KUNUNUA Foward Hadi Leo.

Manzoki tu aliwashinda tangu Mwaka JUZI,

Unategemea uchukue UBINGWA na akina Kyombo na Dejan.
Mkuu hivi ulikuwa gerezani? huyu Dejan si ameshaachana na Simba
 
[emoji881]walete ubingwa wa caf champions league[emoji15][emoji15]
 
Huyu Ponjoro ni msanii zaidi ya Joti, kombe la mapinduzi unafungwa na mlandege halafu unataka kina Kibu na Kiyombo wakupe kombe la Afrika
Huyu ponjori hana tofauti na yanga walioamini wataingia hatua ya makundi caf cl wakati wanafungwa na timu kama ihefu
 
Labda kombe la kufunika ili mwanaharamu apite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…