mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Mapinduzi cup tu limewashinda wanawaza cafcl hiiii baghosha[emoji848][emoji848][emoji848] anyway Aden Rage ajengewe sanamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kuna mtu anamwamini huyu Kanjibai akapimwe akiliAfanye uwekezaji kwanza wa kueleweka kwenye timu. Aache janjajanja, na pia kutaka mafanikio makubwa kupitia njia ya mkato.
Nyie wenye forward hatari mmefika wapi Caf champions league.Kwa forward za akina kibu na kyombo labda kombe la uji
Makolo mulibwanji baba[emoji123][emoji123][emoji1787][emoji1787]Matola baada ya kuandamwa sana na id yako umeamua kuja kivingine, mlamba mavi fc
Matusi ya nini wewe taahiraMatola baada ya kuandamwa sana na id yako umeamua kuja kivingine, mlamba mavi fc
Hapo mbona kama [emoji1787]bunjuRais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.
Inyeshe mvua liwake jua lazima ubingwa wa Afrika uje nchini mwaka huu[emoji1787][emoji1787]
#[emoji881][emoji881]NguvuMoja#View attachment 2476581View attachment 2476582View attachment 2476583
Mkuu hivi ulikuwa gerezani? huyu Dejan si ameshaachana na SimbaMo ni Muhuni sana.
Yani Simba imeshindwa KUNUNUA Foward Hadi Leo.
Manzoki tu aliwashinda tangu Mwaka JUZI,
Unategemea uchukue UBINGWA na akina Kyombo na Dejan.
Huyu ponjori hana tofauti na yanga walioamini wataingia hatua ya makundi caf cl wakati wanafungwa na timu kama ihefuHuyu Ponjoro ni msanii zaidi ya Joti, kombe la mapinduzi unafungwa na mlandege halafu unataka kina Kibu na Kiyombo wakupe kombe la Afrika
Labda kombe la kufunika ili mwanaharamu apiteRais wa heshima wa klabu ya Simba Muhamed Dewji leo ametembelea kambi ya mazoezi huko Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi kuhusu mambo mbalimbali kuhusu klabu na mipango yake ya kuhakikisha Simba inatwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.
Inyeshe mvua liwake jua lazima ubingwa wa Afrika uje nchini mwaka huu[emoji1787][emoji1787]
#[emoji881][emoji881]NguvuMoja#View attachment 2476581View attachment 2476582View attachment 2476583