mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Habarini za muda huu
Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tanzania?
Wengi walisema ni
Mo Dewji wengine SS Bakhressa
Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wa kwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa na Rostam Aziz halafu ndio aje Bakhressa nafasi ya Tatu.
Maswali ya kujiuliza
Je utajiri unapimwaje?
Je nani tajiri zaidi Tanzania?
Je kwanini wananchi hawaamini Forbes??
Je Forbes huwa wanapatia wapi taarifa zao??