Mo Dewji, Bakhresa, Rostam na takwimu za forbes, kipi kimejificha?

Sio kweli matajiri wanajulikana kwa vigezo wazi kabisa mfano pesa zake zote zinasoma Benki .Mabenki Ndio huwa mashahidi namba moja wa utajiri wa mtu mashahidi wa pili ni mamlaka za Kodi za mapato .Kodi huchezi na karatasi ingekuwa hivyo watani zangu wahaya Ndio wangeonekana matajiri wakubwa

Sio rahisi kufoji uonekane tajiri Hadi Forbes wakukubali.Vigezo viko wazi mno.Kujua wewe tajiri hata kupitia TRA records tu mtu aweza jua
Pitia bandiko #39 kisha usikose kusoma #40. Kuna udadavuzi wa kutosha kuhusu hili jambo
 
Habarini za muda huu

Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tz?
Wengi walisema ni
Mo Dewji wengine SS Bakhressa

Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wakwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa na Rostam Aziz halafu ndio aje Bakhressa nafasi ya Tatu.

Maswali ya kujiuliza
Je utajiri unapimwaje?
Je nani tajiri zaidi Tz?
Je kwanini wananchi hawaamini Forbes??
Je Forbes huwa wanapatia wapi taarifa zao??
Hii ni Forbes tawi la Africa likiwa limebase huko SA, anachofanya MO ni kuwalika hapa nchini na kuwanywesha chai halafu wanampaisha,ni kama vile walivyokuwa akina Msofe chuma cha reli, Young milionea Muzamil Katunzi au Ndama mtoto wa ng'ombe walipowatumia Wakongo wa ngwasuma kwa kupewa vihela nao akina Nyoshi kuwapaisha kwenye majukwaa kwa kuyataja majina yao, jarida la Forbes siku hizi ni kama kijarida cha Raia Mwema au Tanzania Daima, ni vijarida vya kufungia utumbo mkuu, Mwamedi ni spin master.
 
Tatizo la wabongo wengi ni wivu tu, hao hao wanakubali matokeo ya Forbes kwa Marekani lakini wanapinga matokeo ya Forbes kwa Tanzania.
 
Yaani unaamini kabisa kwamba hao Forbes wanaweza kupata taarifa za mtu kutoka kwenye mabenki?!

Na kama unadhani watu hawawapigi fix kuhusu utajiri wao just for hype, then ningekushauri Google kuhusu somebody Ross Wilbur!

Huyo jamaa alitokea kwenye Forbes List of Billionares mara kibao kabla hawajamshitukia kwamba alipika taarifa!!

Na kwa issue za karibuni kabisa, tunae mdogo wake Kim Kardashian... I mean, Kylie Jenna...

View attachment 1992031

Kama unavyowajua "The Kardashian" kwa kupenda hype, Kylie alifurahia kweli kweli kutajwa "The Youngest Self Made Billionaire"!

Kwa bahati mbaya, unlike Ross Wilbur, Kylie akashitukiwa within 2 years... baada ya "kuvuliwa" title yake ya ubilionea, povu lake lilikuwa hili hapa:-
Now, ask yourself...

US, ambako ni rahisi ku-verify data, bado watu wanapika data ili mradi tu watokee kwenye Forbes List, what about Bongo?! Na wala hawafanyi kazi kubwa, all they do is to cook tax returns data, then.... BANG!!
Atakaeshindwa kuelewa hapa Basi fuvu lake lifumuliwe[emoji4]
 
Kwahiyo Kuna mijamaa inajitolea zaidi kwenye Kodi ili ipate Kiki ya kuwa namba 1??
 
Sasa ndugu apa mbona kama umejikosoa mwenyewe ,unakubal kwamba hao Forbes wana uwezo wa kujua kama unapika taarifa sasa iweje wasigundue ayo kwa mo mwaka wa ngap huu ,na je kuna urahisi kias gan kufanya ivyo ikiwa auna ata chembe ya huo utajil
 
Back
Top Bottom