Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Wafanyakazi wako wanalipwa bei ganiMO ni masikini hata Bilioni 20 zimemshinda kutoa, wafanyakazi wake wanalipwa mishahara Hadi laki moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wafanyakazi wako wanalipwa bei ganiMO ni masikini hata Bilioni 20 zimemshinda kutoa, wafanyakazi wake wanalipwa mishahara Hadi laki moja
Sahihi kabisaMleta uzi bila shaka utakuwa huyo jamaa alovaa kofia nyeusi kwenye hiyo pichaView attachment 1991293
Sababu kuu ya Mo kuwa juu zaidi kutokana na stock zake za nje hii kitu inamyajua sana huyu mtu. Bakhresa yeye hajaji invest sana kwenye stock market yupo sana kwenye viwanda na maboti. Angalia mfano wa Jeff Benzo na Elon Musk utanielewa
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Mo dewji went to Geogretown anasema Mo mwenyewe kwenye interview alikuwa darasa moja na Allen iverson those school days.
Sasa why asijue hayo mambo ya wall market
Umewazuria uongo forbes, angalia facebook forbesHabarini za muda huu
Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tz?
Wengi walisema ni
Mo Dewji wengine SS Bakhressa
Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wakwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa na Rostam Aziz halafu ndio aje Bakhressa nafasi ya Tatu.
Maswali ya kujiuliza
Je utajiri unapimwaje?
Je nani tajiri zaidi Tz?
Je kwanini wananchi hawaamini Forbes??
Je Forbes huwa wanapatia wapi taarifa zao??
Kwahiyo Bakhresa yeye anaweka pesa nyumbani chief? Pia ile hotel verde ya Zanzibar ni ya Mo? Nipe maarifa mkuu tafadhaliFobes uwa wanafatilia wamiliki wa hisa kwenye makampuni,wanafatilia acount zenye ela nyingi kwenye ma-bank,wanafatilia umiliki wa majengo na viwanda kisha ndo wanajua ni nani anafaa kuwa namba moja.
Ukitaka tu wakujie basi weka bank ela nyingi,nunua hisa kwenye makampuni,jenga na mijengo.lazima utajulikana tu hakuna kificho.
Pablo escobar alikuwa ananunua vitu ovyo,anaweka ela nyingi kwenye ma bank.binamu yake alimuonya sana juu ya tabia yake iyo.mwisho wa siku fobes wakamtangaza nae ni tajiri na mpaka chanzo cha utajiri wake ukawekwa wazi kuwa ni muuza madawa.ndo ukawa mwanzo wa kufatiliwa na FBI.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utajiri wa makaratasi na utajiri wa vitu. Kuna mtu anaweza kucheza na makaratasi na kuweza kuonekana booonge la tajiri lakini kiuhalisia hana hata njururu.
Kivipi sijakupata?Umewazuria uongo forbes, angalia facebook forbes
Ukitaka kuwateka watanzania mafukara kiakili wasahau hata kula wachilia mbali kulala, basi waanzishie mjadala wa ni nani wanafikiri ni tajiri zaidi mtaani kwao au wilayani, au mkoani au nchini au duniani. Ukianzisha mjadala kama huu wachangiaji na ubishi unakuwa mwingi na watu wako tayari kutumia hata muda wao wa kazi ili tu washiriki. Hivi ni kwa nini?Habarini za muda huu
Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tz?
Wengi walisema ni
Mo Dewji wengine SS Bakhressa
Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wakwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa na Rostam Aziz halafu ndio aje Bakhressa nafasi ya Tatu.
Maswali ya kujiuliza
Je utajiri unapimwaje?
Je nani tajiri zaidi Tz?
Je kwanini wananchi hawaamini Forbes??
Je Forbes huwa wanapatia wapi taarifa zao??
Sio kweli matajiri wanajulikana kwa vigezo wazi kabisa mfano pesa zake zote zinasoma Benki .Mabenki Ndio huwa mashahidi namba moja wa utajiri wa mtu mashahidi wa pili ni mamlaka za Kodi za mapato .Kodi huchezi na karatasi ingekuwa hivyo watani zangu wahaya Ndio wangeonekana matajiri wakubwaKuna utajiri wa makaratasi na utajiri wa vitu. Kuna mtu anaweza kucheza na makaratasi na kuweza kuonekana booonge la tajiri lakini kiuhalisia hana hata njururu.
Mi nakuambia hivi...Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tz??
Watu wengi huwa wanadhani ni liquid cash! Utaskia "mo ana hela"Utajiri hupimwa kwa njia nyingi lakini njia maarufu ni networth =mali kutoa madeni waliyonayo.
Na hapo kwenye mali huangalia market capitalization=idadi ya hisa x bei ya hisa sokoni.
Ni rahisi kupata hizi takwimu kwa kampuni inayouza hisa zake kwenye masoko ya hisa. Kwa wasiouza,ni mpaka wanapopublish taarifa zao za fedha.
Bakhresa mmoja ni sawa na akina Mo 20 au 30 hivi!
Hiki ndicho ninacho kifahamu mimi Mtanzania maskini kabisa kutokea Mkoani Tanga.
Forbes taarifa unawapa wewe hawana uwezo wa kuchunguza kujua utajiri wako ni hadi uwapelekee taarifa mwenyewe. So sio matajiri wote upenda show off.Habarini za muda huu
Mtaani kumekuwa na mijadala hasa iliochangiwa na ushabiki wa mpira Simba na Yanga kuhusu nani ndie mtu mwenye utajiri mkubwa hapa Tz?
Wengi walisema ni
Mo Dewji wengine SS Bakhressa
Lakini Forbes wao wanadai kuwa Mo ni wakwanza tena kwa Gepu kubwa tu na Anafuatiwa na Rostam Aziz halafu ndio aje Bakhressa nafasi ya Tatu.
Maswali ya kujiuliza
Je utajiri unapimwaje?
Je nani tajiri zaidi Tz?
Je kwanini wananchi hawaamini Forbes??
Je Forbes huwa wanapatia wapi taarifa zao??
Yaani unaamini kabisa kwamba hao Forbes wanaweza kupata taarifa za mtu kutoka kwenye mabenki?!Sio kweli matajiri wanajulikana kwa vigezo wazi kabisa mfano pesa zake zote zinasoma Benki .Mabenki Ndio huwa mashahidi namba moja wa utajiri wa mtu mashahidi wa pili ni mamlaka za Kodi za mapato .Kodi huchezi na karatasi ingekuwa hivyo watani zangu wahaya Ndio wangeonekana matajiri wakubwa
Sio rahisi kufoji uonekane tajiri Hadi Forbes wakukubali.Vigezo viko wazi mno.Kujua wewe tajiri hata kupitia TRA records tu mtu aweza jua