mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Jibu hojaem goggle ili upate majibu ya hayo maswali yako manne.
DuhKuna utajiri wa makaratasi na utajiri wa vitu. Kuna mtu anaweza kucheza na makaratasi na kuweza kuonekana booonge la tajiri lakini kiuhalisia hana hata njururu.
Utajiri hupimwa kwa kuangalia NET ASSET yaani Asset-Liability. Ni hivi, Chukua Mali alizonazo mtu toa madeni ndo umapata thamani ya itajiri wa mtu. Hapo ndipo Mo anapo mzidi Bakhresa
Sisi wengine tuna utajiri wa rohoKuna utajiri wa makaratasi na utajiri wa vitu. Kuna mtu anaweza kucheza na makaratasi na kuweza kuonekana booonge la tajiri lakini kiuhalisia hana hata njururu.
Duh
Sasa anapata faida gani kujipaisha??
MO ni masikini hata Bilioni 20 zimemshinda kutoa, wafanyakazi wake wanalipwa mishahara Hadi laki moja
Kweli huu utoto Yani na akili zangu timamu nianze kubisha sijui nani tajiri!!!.Utoto
Orientation iishe muanze masomo muwe busy kidogo.
Duh, jielewe basiUtoto
Orientation iishe muanze masomo muwe busy kidogo.
Msemakweli Ni Mpenzi Wa MunguSisi wengine tuna utajiri wa roho
😀 😀MO ni masikini hata Bilioni 20 zimemshinda kutoa, wafanyakazi wake wanalipwa mishahara Hadi laki moja