Mo Dewji, Bakhresa, Rostam na takwimu za forbes, kipi kimejificha?

Pitia bandiko #39 kisha usikose kusoma #40. Kuna udadavuzi wa kutosha kuhusu hili jambo
 
Hii ni Forbes tawi la Africa likiwa limebase huko SA, anachofanya MO ni kuwalika hapa nchini na kuwanywesha chai halafu wanampaisha,ni kama vile walivyokuwa akina Msofe chuma cha reli, Young milionea Muzamil Katunzi au Ndama mtoto wa ng'ombe walipowatumia Wakongo wa ngwasuma kwa kupewa vihela nao akina Nyoshi kuwapaisha kwenye majukwaa kwa kuyataja majina yao, jarida la Forbes siku hizi ni kama kijarida cha Raia Mwema au Tanzania Daima, ni vijarida vya kufungia utumbo mkuu, Mwamedi ni spin master.
 
Tatizo la wabongo wengi ni wivu tu, hao hao wanakubali matokeo ya Forbes kwa Marekani lakini wanapinga matokeo ya Forbes kwa Tanzania.
 
Atakaeshindwa kuelewa hapa Basi fuvu lake lifumuliwe[emoji4]
 
Kwahiyo Kuna mijamaa inajitolea zaidi kwenye Kodi ili ipate Kiki ya kuwa namba 1??
 
Sasa ndugu apa mbona kama umejikosoa mwenyewe ,unakubal kwamba hao Forbes wana uwezo wa kujua kama unapika taarifa sasa iweje wasigundue ayo kwa mo mwaka wa ngap huu ,na je kuna urahisi kias gan kufanya ivyo ikiwa auna ata chembe ya huo utajil
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…