Kwani Simba kama timu ina nini ? Zaidi ya kuitwa Simba tuu ?? Simba haina kiwanja haina Gym haina ofisi haina chochote !
Angalieni hata mwandishi huyo wa face2face nae ni Ponjoro ! Jamaa kamkatia pesa ili amuandike vizuri ! Hapo Mo ameshatengeneza mchongo wa kuwapiga watu ! Duu ! Hii dunia hii ???