Azam angekua na mawazo kama yale asingefika pale,,,yeye angeibrand timu na ingekua na viwango vya akiza azam tu au aungeibadili jina na kuiita Mo F.C,Mo Sports Club na mengineyo,mbona ingefanikiwa tuAmesema aliiacha africa lyon kwa sababu ilifika muda, mechi inaendelea uwanjani hakuna mashabiki.
Naamini unaijua changamoto atakayoikabili Mo huko mbeleni............Kuitoa timu kwa wanachama na kumuuzia mtu si jambo rahisi kama ilivyo kuianzisha timu lyk azam.Manji anachaguliwa na wanachama.
Je Mor, mmiliki atachaguliwa na nan??
Lakini Yanga ni mali ya wanachama na bodi Yake ya wadhamini, wacha kujitia wazimu.Kwani manji sianajiendeshea tu team yenu kama ya familia mmekaa kimya kama hamuoni
Siamini kama huku kwenye michezo uwezo wako reasoning ni mdogo hivi....Kwani Abramovich ni sponsor wa Chelsea? Nyie kaeni na sponsor wenu sisi tunataka mmiliki
YUKO SAHIHIUmeingia choo cha kike mada ya Simba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kelele nyingi afu umeongea pumba tu. Sasa hiv Mpira ni pesa na ili uweze kuendeshee timu ni lazima kuwe na mfumo unaoeleweka kiutendaji pia ishu ya pesa nan atanufaika nazo ni wanachama wa simba na club yao ndiyo watakao nufaika na mfumo huu mpya ambao vilabu vyote dunian wanatumia. MFANO arsenal. Mfumo huu utatupa faida wanachama wa club ya simba kupitia hisa zetu kwa sababu tutaweza kuuza ikitokea mwanachama ameamua tofaut na sasa hiv unamilik likad tu afu hupat faida YOYOTE. Ishu ya hajasema anaenda kubadil historia ya simba jibu hapana anaenda kufanya mageuz ya kimpira ndani ya club ya simbaNaunga Mkono Simba Kubaki kama ilivo. Kama Dewji ana Talent za uongozi na yeye ni mwanachama wa simba anaruhusiwa kuogombea Uongozi ili afanye maendeleo anayo kusudiwa. Njia Nyengine ni kui sponsor Simba kwa udhamini wa muda mrefu .
Kuuza Simba kwa yeye kuimiliki hilo haliwezekani. Mimi ni mwanachama wa simba na mtu wa kwanza kwenda mahakamani kupinga hatua hii.
Simba ni timu ya wazee wetu wa Dar es salaam ..Pamoja na Yanga na Coastal Union na African Sports zina Historia za kipekee katika siasa za nchi hii tangu enzi za Kugombea Uhuru.
wazee wale waliziongoza timu hizi kwa mafanikio makubwa na ikawa ndio chachu ya maendelo ya Footbal Tanzania.
Simba ni Priceless..huwezi kuithamini kwa fedha kabisa. Ni club ambayo imeweza ku survive zaidi ya Miaka 70 ya dharuba kwa muundo wake huu huu uliopo ambao ni kuwa chini ya wanachama na wapenzi.
How much is share ya Club hii ?'
Na jee nani atakua beneficiary wa hizo share Jee wajukuu wa waanzilishi wa Simba au matapeli kina Hanspope na Aveva ?
Ni wa zi Simba sio Africa Lyon ambayo Dewji ilimshinda kuindesha kwa sababu moja tu..hakua tayari kuwekeza kama alivo ahidi.
Tunamshauri yeye na wote wanaopokea Rushwa waache ndoto zao halitawezekana kabisa hili.....bora simba ife kabisa kuliko kuuziwa mtu mwenye malengo ya kuifanya simba brand ya biashara yaek. Na hakika Tunaomba TAKUKURU Wachunguze wale wote wanaoshabikia hili kwani kuna kila dalili wanapokea rushwa kufanikisha mpango huu haramu
SIMBA NI YA WATANZANIA WAPENZI HAIWEZI KUUZWA NA HAITAUZWA..
Siamini kama huku kwenye michezo uwezo wako reasoning ni mdogo hivi....
Tunataka wamiliki wa timu kama Bakhresa, huyu ni kweli ameonesha nia ya dhati ya kuwekeza katika soka, Manji na Dewji hawa ni wajanja tu wa mjini.
Kama si raia wa Dar kuipigia kura nyingi UKAWA leo Manji angekuwa ndio meya wa jiji.
Mmiliki binafsi ni hatari sana kibongobongo bora ingekua ni kampuniKwani Abramovich ni sponsor wa Chelsea? Nyie kaeni na sponsor wenu sisi tunataka mmiliki
Mmiliki binafsi ni hatari sana kibongobongo bora ingekua ni kampuni
Safi.. Vilevile mtoa mada hoja yake ni butu mno.. wala hajiulizi kuwa kwanini hata ulaya huwa wanatafuta timu kubwa ndo wanawekeza.!?Mtoa mada hujui ukubwa wa Simba kuizidi hiyo African Lyon?
Kwanza timu zote zenye jina African ni uzao wa Yanga
Toto Africa
African Sports
Pan African
Nyota Africa
African Snakes
African Lyon
Mtoa mada kaauliza swali zuri hiyo hela anapewa nani?
Yaani unatumbukiza hela kwenye account ya Simba halafu wewe tena unapewa kumiliki Simba kwa hiyo unaenda kumiliki hela zako mwenyewe
yaani umetoa hela mkono wa kushoto na kupeleka wa kulia.
Safi.. Vilevile mtoa mada hoja yake ni butu mno.. wala hajiulizi kuwa kwanini hata ulaya huwa wanatafuta timu kubwa ndo wanawekeza.!?