Mo Dewji kaitelekeza timu yake African Lyon ataiweza Simba?

Sawa mwelewa, tueleweshe hii ni club ya wanachama huyo tajiri akinunua mpunga atamlipa nani? Na wanachama haki zao zipo wapi? Acheni ujanjaujanja.
Mfumo wa hisa sio simba kuanza kutumia duniani na timu zote asilimia kubwa zinakuwa za wanachama.. kwa hivyo wa wanachama kufaidika hilo litawekwa wazi katika mkutano mkuu
 
Mtuachie Simba yetu ikifa ni yetu Acheni wenye pesa wafanye biashara ya mpira wanachama mbakie mashabiki tu
 
Mtoa mada kaauliza swali zuri hiyo hela anapewa nani?

Yaani unatumbukiza hela kwenye account ya Simba halafu wewe tena unapewa kumiliki Simba kwa hiyo unaenda kumiliki hela zako mwenyewe
yaani umetoa hela mkono wa kushoto na kupeleka wa kulia.
hela watapewa wanachama wagawane
 
Kama manji alipewa Yanga haijashuka ss hivi ni ya kimataifa hujui hilo
Manji hajapewa timu aimiliki kama yake bali wanachama wamempa ridhaa kuiongoza timu kama mwenyekiti.
 
Manji anachaguliwa na wanachama.
Je Mor, mmiliki atachaguliwa na nan??

Hivi unaelewa maana ya umiliki??

Manji anachaguliwa na wanachama kuwa nani???
Ulitaka mo achaguliweje???
 
Mtoa mada kaauliza swali zuri hiyo hela anapewa nani?

Yaani unatumbukiza hela kwenye account ya Simba halafu wewe tena unapewa kumiliki Simba kwa hiyo unaenda kumiliki hela zako mwenyewe
yaani umetoa hela mkono wa kushoto na kupeleka wa kulia.

Ww kilaza[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
 
Yeye anatafuta faida kupitia simba hana machungu kwa hyo katika bidhaa anazomiliki simba Nayo kesho Ipo mikononi mwake
 
Hatuendeshwi kwa fikra za wana Yanga...
Cc kesho tunampa timu MO ili tuone km atatutelekeza....
Alf hata km akitutelekeza timu n ya kwetu cc nyny Mgunda mnapga kelele za nn...?
 
eti bora ife..

ngedere wewe
 
Tuwekee shares kwenye soko tununue, sio kumpa mo on silver plate
 
eti bora ife..

ngedere wewe

Ssa huyo bas..ha wako amekwenda kusajili timu yake mpya MO F.C
Matusi kapeleke kwake...Simba Haiuzwi kwa Mhindi Bishoo utajiri wa kurithi...ujinga unafikiri atatoa Billion 20 mukishampa? maviii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…