GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Endeleeni na fitna za ndani mtabaki kufa kiume kenge nyieNampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.
Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.
Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya na kuhakikisha simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululuzo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.
Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa november 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
fitna tutaendlea nazo mpaka mchomoe huo mwikoEndeleeni na fitna za ndani mtabaki kufa kiume kenge nyie
Amini nakwambia kuna watu watavishana sanda mchana kweupe05-11-2023
Watu walishautangulia muda tusubiri watu kuvishana sanda mchana kweupeMuda n hakimu mzuri
Hiyo avatar yako vip ina ujumbe gan kuelekea k/koo debiWatu walishautangulia muda tusubiri kuvishana sana mchana kweupe
Daima mbele nyuma mwiko
Ujumbe kama unavyoona sheikhHiyo avatar yako vip ina ujumbe gan kuelekea k/koo debi
Kwani unadhani yanga nae Hana hao watu wa fitna?Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.
Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.
Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.
Sasa makundi ndani ya Simba basi poleni sana majirani Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa November 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
Date saved05-11-2023
Nakutukana nione chomoa huo mwiko huko nyumaKibu Dayana Mtombwangile!
Ahsante kwa Taarifa!
Walikuwepo enzi ya 6-0, 5-0,4-1 na hata wataendelea kuwepoKwani unadhani yanga nae Hana hao watu wa fitna?
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mtombwangile una mambo wewe!Nakutukana nione chomoa huo mwiko huko nyuma
[emoji847]Kibu Dayana Mtombwangile!
Ahsante kwa Taarifa!