Mo Dewji kaiva kwenye fitna za Kariakoo Derby

Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.

Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.

Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.

Sasa makundi ndani ya Simba basi poleni sana majirani Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa November 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
Kweli yamejirudia
 
Hauna hoja kijana juzi si ulikimbia hapa wewe
20231106_231724.jpg
20231106_140329.jpg
20231106_101636.jpg
 
20231106_110230.jpg

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Iloooooooooooooooooooooo hadi umelala yoooo bado haujasema na hoja zako za kujirudia dogo
20231107_132102.jpg
 
Nampongeza Mo Dewji kwa Kitendo cha kuteua wajumbe wa bodi la baraza la ushauri.

Hawa wote walioteuliwa ni wazee wa fitna ndani na nje uwanja.

Dewji ulifanya kitu sahihi kuwakusanya wale wazee wa fitna na kuhakikisha Simba inatawala soka la ndani Tanzania kwa miaka 4 mfululizo mpaka wale wazee wa mwiko nyuma fc watie adabu.

Sasa makundi ndani ya Simba basi poleni sana majirani Nilipata wasaa kukaa na mzee mmoja lia lia na mnazi wa mwiko nyuma fc alianiambia kabisa November 5 wanakufa kabisa bila ubishi tena inawezekana yakajirudia yale ya 2012.
Ikawaje tena??
 
Back
Top Bottom